Nini kimempata Rais Museveni, kwanini ameomba sheria ya kubana mapenzi ya jinsia moja ifanyiwe marekebisho, Mabeberu wamemchimba mkwara?


Adhabu ilikuwa iwe miaka 30 jela, kakataa kusaini ametaka iwe maisha jela!! Nenda kasome vyema maelezo yake.
 
Kwa hiyo mashoga mlimuonya hakutaka kusikia ila leo ndo amejua nyinyi akina nani!?
 
Ukiwa na wewe mmoja wapo maana ni mwafrika tena mtanzania watu waoga waoga
 
Kujiweka uzunguni na kiingereza chako fyongo
 
Nyie vip hajasalimu mbona sheria imekua kali zaidi ama nyie mnaona vibaya
 
MaRais wengi, wanaikwepa adhabu ya kifo... Kipengele cha kifo anataka kifanyiwe marekebisho...
 
Acheni kukuza, anachotaka ni kuondoa kipengee cha kifo ili wasaidiwe kubadilika sio kuwaua.
 
Unajua ni kwanini watu wanaunga mkono serikali?

Ni kwa sababu mashoga wa Tanzania wengi wao wanaharibu wadogo zetu kwa makusudi.Ipo mifano ya mashoga wanaokuwadia vijana wa shule kwa mabasha.Juzi kati hapa kuna mashoga waliandaa event ya kuwafundisha watoto wa kiume jinsi ya kujiandaa kabla ya kwenda kuonana na mwanaume na vitu kama hivyo.

Mfano wewe hapa JF nimepitia post zako za nyuma nimekuta sehemu unafurahia watoto wa hostel na bwenin wakifiryanah.Hii inafanya watu wakuone mbaya na wakuchukie.

Mim pamoja na usomi wangu kidogo siamin ktk mashoga wakuzaliwa sbb mm ni mkristo na imani yangu inasema tofauti.

Ninachoamini kwa hakika ni kuwa wapo mashoga ambao ni matokeo ya kulawitiwa utotoni.

Wapo walioingia huko kwa kuponzwa na tamaa.

Sasa basi wale gays ambao leo hii ni gays kwa kufanyiwa ushetani utotoni na viongoz wetu wa dini au baba na wajomba zetu walitakiwa waunge tena kukemea ushoga kulazimishwa kwa watoto na vijana na sio kufurahia.

Kama gay kawa gay kwa kulawitiwa utotoni kwanin badala ya kutaka ushoga kuonekana kitu cha kawaida asifanye kampen ya kuifungua macho jamii kuwa msituchukie tuko hiv tulivyo sbb mmetutengeneza wenyewe.Msituchukie bali tushirikiane kuona tufanyaje ili watoto wengine wasifanyiwe kama tulivyofanyiwa sisi.Ikiwa hivi ni rahisi kuingiza hata hoja za kuzaliwa hivyo mtu ukaeleweka.

LOVE LEAD
Huwezi kuwa na upendo then ukafurahia kuona watoto na wadogo zetu wanaingizwa ktk ushoga kisa kifo cha wengi ni harusi.
 

Umesema wewe ni msomi!? Kazi ipo,
Yaani msomi wewe unataka victims ndio waanzishe kampeni ya kusema sisi tulifanyiwa hivi na hivi kwa hiyo wasifanyiwe wengine, lol

Wakati hao viongozi wenu wa dini, wajomba zenu, mabwana zenu waliozalisha hilo kundi mnakula nao na kugonga glass huku wakishinikiza homosexuals wauawe,

Fikiri zaidi.
 
Hakuna mzazi anazaa shoga,ushoga sio asili ni tabia.
Mtu hazaliwwi kuwa shoga bali ukifanya kuwa shoga.
Hakuna chromosomes au vinasaba vya ushoga toka kwa mzazi
 
Wanawake wanaopigwa na waume zao ni victims na hao hao victims wanaopata ujasiri wa kutoka hadharani kuongea na kukemea ukatili kwa mwqnamke ndio wanaosaidia wenzao wenye kuogopa nao kujitoa na pia vyombo husika kuchukua hatua.

Mtoto aliyelawitiwa miaka 20 iliyopita akisimama kumtetea mtoto wa leo sauti yake itakua na nguvu zaidi.

Halafu victim asipotoka kuongea unataka amuongelee nani?Aliyemlawiti?

Fikiri zaidi.
 
Wakati unasubiri mtoto aliyelawitiwa miaka 20 iliyopita aje awasemee watoto wa sasa, wakati huo wazazi wa watoto wa sasa wako wapi?

Unafananisha uhanga wa kupigwa kwa wanawake na waume zao na ulawiti aliofanyiwa mtoto mdogo hadi akawa gay!!?

Msomi, upo serious kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…