Nini kimempata Rais Museveni, kwanini ameomba sheria ya kubana mapenzi ya jinsia moja ifanyiwe marekebisho, Mabeberu wamemchimba mkwara?

Aiseee nilikuwa sijui kama na wewe ni shoga? 🄱 Nimekudharau sana. Yaani ngosha ngima ukatombagwa na bhagosha bhiyo? Nimekudharau mno.
Mimi kudharauliwa na mtu wa hovyo kama wewe inanisaidia au inanipunguzia nini? Hao mbwa wenzio unaowaheshimu imewaongezea nini katika maisha yao?

Halafu usininasibishe na hizo jamii za hovyo sijui mangosha na uchafu mwingine.
Kwahiyo kwa hizo dagaa unazokula na mahali pachafu unapolala nawewe unajiona heshima yako kwa watu ina thamani ama? Hahahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi unawezaje kumpa respect anonimous hapa JF? Imagine miaka yote unanipeq respect mimi sina hata wazo kama kuna kima ananipea respect huko.
Kuna sehemu nimeandika tusi au kukudharau?
Tulia basi,wewe au member wengine hapa sio maroboti ni binadamu halisi na jinsi unavyoishi hapa ndio watu watachukulia hivyo hivyo sawa mimi ni Kima.
 
Mimi huwa sijali sana nani ananichukuliaje zaidi sana hapa husoma mawazo ya watu na kuchangia mada. Sasa nimekujibu wewe uliyesema ulikua unaniheshimu ila umenidharau kwa mchango wangu humu ndipo nami nimekwambia sikuwahi hata kuwaza kina kima ananiheshimu huko.

Mjifunze kufanya analysis za mawazo ya watu kabla ya kurukia kwenye conclusion ndio maana viongozi wenu wanaendesha kama wanyama maana hamna reasoning capacity linapokuja suala la life analysis.
 
Kabisaaa
 
View attachment 2595606

Afrika iliweza kushuhudia wiki chache zilizopita bunge la Uganda likipitisha muswada wa kutokomeza ushoga kimafia, Wengi tukaona Uganda awe mfano wa kuigwa na tukawapongeza sana kwamba ndio taifa la kuigwa katika suala la kulinda maadili yetu ya kiafrika.

Kilichobaki ilikuwa ni kumpasia pasi museveni amalizie kupitisha muswada huu uwe sheria, ilibaki tu saini ya Rais Museveni kufanya muswada huo uwe sheria, Kila mtu alijua Museveni ataipitisha fasta tu maana hata katika hotuba zake na vyombo vya kimataifa hamungunyi maneno wala kukwepesha, wala haogopagi chochote kusema hakuna watu wanaomkera kama wanaofanya mapenzi ya jinsia moja na anatamani wasiwepo kabisa kwa namna yoyote.

La haula!! Museveni kagoma kusaini muswada huo, kaomba upitiwe upya, Museveni tunaemjua huyu au !?

Wabunge walipedekeza muswada huu adhabu za vifungo vya gerezani na kifo kwa wale wanaobaka lakini Museveni kwa sasa kapendekeza kuwe na rehab, rehab ni kama zile sober house za wenye uraibu.

Hakika ni kitu cha kushangaza maana ikumbukwe Raisi huyu alikuwa ni kichwa cha treni kuwa mstari wa mbele kutamani kabisa kuutokomeza ushoga hata kwa mbinu za kimafia , nini kimetokea mpaka kawa hivi ??

Conclusion: Hivi vitu viwe kimya kimya tu kama hapa bongo unawekwa ndani miaka 30 kimya kimya, kwa sasa kupiga kelele kwa wanaotoa misaada ni kutafuta attention unnecessary, ni mwendo wa kimya kimya tu
M7 ambaye anataka akimaliza urais mwanaye ashike nafasi mlimwamini?
Urais wake binafsi umeshikiliwa na westerners.
Alikuwa anapiga mkwara na kuwapoteza maboya.
 
Sijui lengo la museven, ila mtoa post hujakamilisha vizuri habari nenda tena kairudie kuisoma!
 
Ila bongo ni taifa la watu wa hovyo sijui ni njaa ama umaskini ama vyote kwa pamoja yaan watu mnaengage kwny mada hata hamjui ukweli wa taarifa yenyewe,yaan mtu kasoma juu juu karukia kwny comment anamuona mseven msenge

Wabongo badilikeni jiwekeen utaratibu wa kusoma vitabu acheni uvivu,hii itawasaidia kuvijua vyanzo sahihi vya taarifa
 
Wabunge walipedekeza muswada huu adhabu za vifungo vya gerezani na kifo kwa wale wanaobaka lakini Museveni kwa sasa kapendekeza kuwe na rehab, rehab ni kama zile sober house za wenye uraibu.
Sasa walioshindwa maisha si watafanya ile wakalelewe rehab
 
View attachment 2595606

Afrika iliweza kushuhudia wiki chache zilizopita bunge la Uganda likipitisha muswada wa kutokomeza ushoga kimafia, Wengi tukaona Uganda awe mfano wa kuigwa na tukawapongeza sana kwamba ndio taifa la kuigwa katika suala la kulinda maadili yetu ya kiafrika.

Kilichobaki ilikuwa ni kumpasia pasi museveni amalizie kupitisha muswada huu uwe sheria, ilibaki tu saini ya Rais Museveni kufanya muswada huo uwe sheria, Kila mtu alijua Museveni ataipitisha fasta tu maana hata katika hotuba zake na vyombo vya kimataifa hamungunyi maneno wala kukwepesha, wala haogopagi chochote kusema hakuna watu wanaomkera kama wanaofanya mapenzi ya jinsia moja na anatamani wasiwepo kabisa kwa namna yoyote.

La haula!! Museveni kagoma kusaini muswada huo, kaomba upitiwe upya, Museveni tunaemjua huyu au !?

Wabunge walipedekeza muswada huu adhabu za vifungo vya gerezani na kifo kwa wale wanaobaka lakini Museveni kwa sasa kapendekeza kuwe na rehab, rehab ni kama zile sober house za wenye uraibu.

Hakika ni kitu cha kushangaza maana ikumbukwe Raisi huyu alikuwa ni kichwa cha treni kuwa mstari wa mbele kutamani kabisa kuutokomeza ushoga hata kwa mbinu za kimafia , nini kimetokea mpaka kawa hivi ??

Conclusion: Hivi vitu viwe kimya kimya tu kama hapa bongo unawekwa ndani miaka 30 kimya kimya, kwa sasa kupiga kelele kwa wanaotoa misaada ni kutafuta attention unnecessary, ni mwendo wa kimya kimya tu
Mwanaye mmoja wa kike ni samaki......anawala wenzake pia.
 
Mimi kudharauliwa na mtu wa hovyo kama wewe inanisaidia au inanipunguzia nini? Hao mbwa wenzio unaowaheshimu imewaongezea nini katika maisha yao?

Halafu usininasibishe na hizo jamii za hovyo sijui mangosha na uchafu mwingine.
Kwahiyo kwa hizo dagaa unazokula na mahali pachafu unapolala nawewe unajiona heshima yako kwa watu ina thamani ama? Hahahaha
Acha dharau kijana
 
Hapo ulipo ukute unaliwa na mbu na shida lukuki ila huna muda wa kupambana nazo unapambana na privacy za watu. Hovyo sana.
Kwakuwa wewe ni mkristo hauwezi kukemea uchafu huu,sasa kuliwa na mbu na kuwa na shida hizo ni kufuru?
 
Ila bongo ni taifa la watu wa hovyo sijui ni njaa ama umaskini ama vyote kwa pamoja yaan watu mnaengage kwny mada hata hamjui ukweli wa taarifa yenyewe,yaan mtu kasoma juu juu karukia kwny comment anamuona mseven msenge

Wabongo badilikeni jiwekeen utaratibu wa kusoma vitabu acheni uvivu,hii itawasaidia kuvijua vyanzo sahihi vya taarifa
Tuwekee wewe chanzo sahihi,
Maelezo mengi ya kujilalamikisha ya nini
 
Waafrika wengi ni wajinga sana kama wanyama hususani wabongo. Wengi walimsifia Museveni bila kujua nini kilikua kinaendelea Uganda!

Muswada ule haukupelekwq Bungeni na serikali ya Museveni bali ni mbunge mmoja ndie alipeleka mapendekezo hayo kama ambavyo mbunge yeyote anaweza kufanya hapa Tanganyika, baada ya muswada kupita Bungeni ndipo Rais husaini uwe sheria.

Sasa kwakua Muswada ule haukutokea serikalini kinyume na mazwazwa wengi walivyoamini ndipo Museveni kaomba marekebisho kama ilivyotangazwa.

Kuna a very thin line katika uwezo wa kufikiri kati ya mwafrika na mnyama.
Ungetoa elimu tu.Haukua na haja ya kuwatukana Waafrika ambao umekiri walikuwa hawajui hilo jambo lilianzia wapi.
 
Back
Top Bottom