Nini kimepelekea Kadinali Pengo kuondolewa kwenye tovuti ya Jimbo Kuu la D'Salaam?

Kweli Pengo Muadhama Kardinali alikuwa mtu mmoja mkabila na mkanda japo alininyima kuwa Padri lakini siwezi kumjadili kama ulivyo mjadili hivi. Ka weye ni mkatoliki mwenzangu, lazima una lako jambo sio bure. Samehe
Kumbe hata ndani ya KANISA kuna ukabila(ubaguzi),basi si ajabu kwa hayo aliyoyasema@adolay kuwa ni kweli.
Na kama ni kweli,ana haki ya kuyasema na hata kumsema,kwa maana siamini kama ukristo unakubaliananayo.
 
Wewe ni muislamu wakristo hawanaga neno hikma bali ni hekima
Kuna shida muislam kama mimi kuchangia jukwaani?,au shida ni kutumia neno hilo?kuna maana gani kusema "wewe ni muislamu"wakati mwenzio hapo@adolay anashangaa mambo ya ubaguzi kama wako,ni muathirika wa ndoto yake kwa ubaguzi.
 
SWALi HILI SIJATARAJIÀ LITATOKÀ KWA MUUMINI WA KIROMA

HATA TULIO NJE TUNAJUA ASKOFU JUDE NDIE MRITHI WA ASKOFU PENGO

NA KUTOKANA NA AFYA YAKE HATOWEZA KUENDELEA TENÀ NA MAJUKUMU YAKE......


 
SWALU HILI SIJATARAJIÀ LITATOKÀ KWA MUUMINI WA KIROMA

HATA TULIO NJE TUNAJUA ASKOFU JUDE NDIE MRITHI WA ASKOFU PENGO

NA KUTOKANA NA AFYA YAKE HATOWEZA KUENDELEA TENÀ NA MAJUKUMU YAKE......

Jibu, swali, je amerithi lini?
 
MPWA HUYU ALIEULIZA SWALI ATAKUWA DINI YA ...KWA MROMAN WANAELEWA FIKA KINACHOENDELEA ..
 
Pengo walishamfyatua siku nyingi,siku hizi haruhusiwi kutoa kauli kwa niaba ya kanisa labda kuhusu ugonjwa wake tu.
Hahahaaaaaaaa na urithi wakes HIVI malizao wanarithi kinananiiii naulizatu
 
SWALi HILI SIJATARAJIÀ LITATOKÀ KWA MUUMINI WA KIROMA

HATA TULIO NJE TUNAJUA ASKOFU JUDE NDIE MRITHI WA ASKOFU PENGO

NA KUTOKANA NA AFYA YAKE HATOWEZA KUENDELEA TENÀ NA MAJUKUMU YAKE......
Je ndo aachie madaraka kimyakimya? Refer case ya kustaafu kwa Askofu mkuu wa jimbo kuu la Kinshasa Mwadhama Laurent kardinali Mwonsengo pasinya na kusimikwa na kuwekwa kwenye Kiti askofu mkuu mwandamizi FRIDOLIN AMBONGO OFM Cap
 
HIVI MAFAOOO YAKE ANATAFUNA NANI JAMANI HYAA NDIOO MAMBOO YA MAANA KUJADILIANA KAMA KUNAITAJIKA KAMATI HUMU IUNDWE TUKAANGALIE KAMA ANAWEZA ISAPOT JF TUKAPOKEA MAFAO YAKE ....
 
Je ndo aachie madaraka kimyakimya? Refer case ya kustaafu kwa Askofu mkuu wa jimbo kuu la Kinshasa Mwadhama Laurent kardinali Mwonsengo pasinya na kusimikwa na kuwekwa kwenye Kiti askofu mkuu mwandamizi FRIDOLIN AMBONGO OFM CapView attachment 1052717

Huu ndiyo utamu wa JF kuwa na watu kama wewe na siyo mbumbumbu wengine. Wote wanaojibu humu ni wababaishaji, hawataji siku ambayo Ruwa'Ichi ame-succeed jimbo na lini Pengo katumbuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…