Upo sahihi mkuu. Infact mwanaume wa miaka 40 binti wa 20 ndio wa jika lake kabisa hapo hakuna cha kuuliza.Sasa mkuu mdada wa miaka 20 na mwanaume miaka 40 tofauti ni umri tu ila kiakili unaweza kuta anajua mambo mengi kuliko hata huyo mwanaume
Yaani shida,nilikasirika sana nilitamani nikaweke fimbo.Wazazi wake wamejua tukikutana wanacheka wananiita mkweWatoto wa siku hizi tabu sana.
Mim ni mtu mzima mama sina utoto ujueWatu wazima wana raha yake,hela anakupa bado utabembelezwa kama mtoto,wepesi kuomba radhi, yani ni full package sema tuu mvi nyingi....vijana hela hamtoi na bado fix kibaaaaoo ukinikuta na hela zangu bado unataka unipangie matumizi..chaaa
Kuweni wanaume halisi, sio maneno maneno
Enhe ya ikawajeKuna katoto form 1,kameniandikia msg kupitia namba ya binti wao wa kazi eti kananipenda,nilishangaa sana! ana umri wa miaka 13 mimi 43.
Achaga ubahili wa kutubania papuchiloAti nyie pesa yenu mnaibana wakati papuchilo mnaitaka.pambaneni na hali zeni ati[emoji23]
Mkuu wananiita hivyo kama utani kwa jinsi nilivyokakasirika baada ya kupokea sms,kwani nilitimba mpaka kwao kwenda kumkana,na bakora alichezeaNinyi nyote wapumbavu
Watu wengine wanapewa Udokta wa hrshima kwa mambo ya kawaida kabisa, lakini wewe uliyetafiti jambo linalogusa jamii nzima hakuna anayekukumbuka.Kuna mabadiliko makubwa sana kwenye jamii yetu siku hizi. Unakuta binti wa miaka 20 anapenda kuwa mtu mzima wa miaka 40 na kuendelea na wao wanasema ndio wanaofaa kwa mapenzi na maisha kwa ujumla.
Nimefanya tafiti nimeshindwa kuelewa, hii ni kwa nini?
Nilikwenda kwao na sms akachezea za kutosha,ila hajakoma ananifuatilia.Enhe ya ikawaje
Mtu na mwanae... Ujinga huu kukaa na kibabuUpo sahihi mkuu. Infact mwanaume wa miaka 40 binti wa 20 ndio wa jika lake kabisa hapo hakuna cha kuuliza.
Mkuu mpaka mke wangu anajua akimwona anamwita mke mwenzaHapo ulifanya vyema. Nilikuwa sijaelewa.
Malizia kabisa"watu wazima wenye hela" 🤑. Jitahidi na wewe uzitafute kwa udi na uvumba ili ufurahie mema ya nchi hii kama sisi wazee!! 😇Nimefanya utafiti,mabinti wanapenda watu wazima.
Kuna mabadiliko makubwa sana kwenye jamii yetu siku hizi. Unakuta binti wa miaka 20 anapenda kuwa mtu mzima wa miaka 40 na kuendelea na wao wanasema ndio wanaofaa kwa mapenzi na maisha kwa ujumla.
Nimefanya tafiti nimeshindwa kuelewa, hii ni kwa nini?