Nini kimesababisha mabadiliko haya? Mabinti wadogo wanapenda watu wazima

Sio kweli,nimewahoji wengi wanadai vijana wanawaumiza kimapenzi.
Sasa ulitegemea wakuambie? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Siri ya kambi hio, alafu Ni simple logic wanategemea utakua unajua tu automatically, kwaio kuwahoji ni Kama unawachora na wao watakuchora vilevile
 
Sasa ulitegemea wakuambie? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Siri ya kambi hio, alafu Ni simple logic wanategemea utakua unajua tu automatically, kwaio kuwahoji ni Kama unawachora na wao watakuchora vilevile
Mimi ni mtaalamu wa saikolojia.
 
Ila wakuu boda boda wanakula sana wanawake iwe hao 16-40 yaani wote wote ni MOTO TU huko uboda bodani
 
Ati nyie pesa yenu mnaibana wakati papuchilo mnaitaka.pambaneni na hali zeni ati[emoji23]
Acha vijana tujenge kwanza vibanda vya kulala..tukifika 40's pia tutawatema nyie maana mtakuwa umri umesogea na tutaanza kutafuna vibichi vya early 20's..Simple tu.
 
Hii tabia wametoa ccm,mana lichama limejaa vijana wachawi na makapuku
 
Watu wazima wana raha yake,hela anakupa bado utabembelezwa kama mtoto,wepesi kuomba radhi, yani ni full package sema tuu mvi nyingi....vijana hela hamtoi na bado fix kibaaaaoo ukinikuta na hela zangu bado unataka unipangie matumizi..chaaa!!!
Vipi kama tukipaka piko kwenye nywele?
 
Sio wazazi wao mpaka jamuhuri a.k.a serikali pia unatengeneza zengwe nao,nasikia miaka imezidishwa kutoka 30 mpaka 60.
 
Shabba Ranks alishazungumzia hili kitambo.

 
Mkuu wananiita hivyo kama utani kwa jinsi nilivyokakasirika baada ya kupokea sms,kwani nilitimba mpaka kwao kwenda kumkana,na bakora alichezea
Wamekuona mtoto ndo maana wanakuchekea ila ki uhalisia we kama mtu mzima ulipaswa kuihandle hiyo situation kwa kunyamaza tu hako kabinti kangejua umemind na kangekoma mara moja. Ila kitendo cha kwenda kwao umefyumu umedhihirisha haina emotional maturity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…