ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Umeamua kujiambia na kujiaminisha, ila taarifa za kiafya sio kama kutongoza. Lazima data ziwepo kutoa back up ya unachokidai.SA inaizidi Njombe, Iringa, Kagera? Yaan tukiweka hio mikoa mitatu tu SA chali
Naziona FacebookPisi za kizansi ni za moto hatari , hata wewe unaweza upata tu huo ukimwi na usiwaze ikikunasa moja wapo.
South kuna wanawake warembo hakuna mfano halafu hata kukataa hawajuagiNaziona Facebook
Kuna zile ngoma zao wananyanyua mguu mmoja juu ni Hatari na nusuKuna vile visketi wanavaa wanafunzi wa kule, aisee Sio Poa.
Maadilli hata shuleni lazima yayumbe tu.
Naomba hizo data na mimi nikuletee data ila usilete data za kupikwa, Mimi nakataa sio kweliTanzania ukizidisha mara tatu kwa sasa ndio unalingana level na South Africa.
we mwenyewe umesoma hicho ulichoandika?Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio south wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na sekta ya afya kuzidi kuzidiwa duniani kote.na Kuna tetesi coronavirus ilitengenezwa maabara kidigitali.
SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwewe mwenyewe umesoma hicho ulichoandika?
acheni ngono isiyo salama
acheni kusingizia ukoloni
Kaka SA wanauza mbususu kwa mafungu , mpaka wanazo site za kuanika mizigo ili mnunuzi apatikaneSA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe
nani kasema?SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe
apa watu hawapimi hlf wanaanza kujifisifia, nyambafffTakwimu...KULE WANAPIMA SANA, Ni ugonjwa wako nao UWAZI SANA! NA DAWA WANACHUKUA KAMA VILE WEWE UNAVYOCHUKUA PANADOL NA KUINYWA MBELE YA FAMILIA, sio kama huku hata kupima ni siri yako! na hivi kuna vile viself test sijui nini woy..!
While both Tanzania and South Africa face significant HIV challenges, South Africa has a higher adult HIV prevalence rate (around 19.6% for adults aged 15-49) compared to Tanzania's (around 4.5%).Naomba hizo data na mimi nikuletee data ila usilete data za kupikwa, Mimi nakataa sio kweli
Nipe hizo data sio hizo cooked data, SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe fanya suu tusiwape ARV ndio utaelewa yaan ARV zizimwe SA na huku zizimwe halafu angalia wapi watu wengi wanaangukaWhile both Tanzania and South Africa face significant HIV challenges, South Africa has a higher adult HIV prevalence rate (around 19.6% for adults aged 15-49) compared to Tanzania's (around 4.5%).