Nini kimesababisha South Africa kuwa na HIV AIDS kwa rate kubwa?

wanatupiga na janga
Hawa marais walinifungua kitu kuhusu HIV/AIDS!Walipingwa kila kona ya dunia!

​

SA's Zuma 'showered to avoid HIV'​

Mbeki criticized the scientific consensus that HIV is the cause of AIDS beginning shortly after his election to the presidency.

Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio south wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na sekta ya afya kuzidi kuzidiwa duniani kote.na Kuna tetesi coronavirus ilitengenezwa maabara kidigitali.
Umqomboti, aikona!

Aikona, Umqomboti.
 
Kuna zile ngoma zao wananyanyua mguu mmoja juu ni Hatari na nusu
Mkuu Kwa Uniform hizi, Kuwa Teacher kwa Madiba ni Kipengele.

images (1) (17).jpeg
images (1) (18).jpeg
images (1) (19).jpeg
images (1) (23).jpeg
images (1) (22).jpeg
images (1) (21).jpeg
images (1) (20).jpeg
images (1) (24).jpeg
images (1) (25).jpeg
images (1) (26).jpeg
images (1) (27).jpeg
images (1) (29).jpeg
images (1) (30).jpeg
images (1) (31).jpeg
images (2) (2).jpeg
images (2) (3).jpeg
images (2) (4).jpeg
images (2) (5).jpeg
 
Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio south wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na sekta ya afya kuzidi kuzidiwa duniani kote.na Kuna tetesi coronavirus ilitengenezwa maabara kidigitali.

Nafikri ungeanzia kwanza utafiti wako hapa nyumbani kwani kuna mikoa ina rate kubwa sana kabla hujaenda Nchi za watu....
 
Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio south wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na sekta ya afya kuzidi kuzidiwa duniani kote.na Kuna tetesi coronavirus ilitengenezwa maabara kidigitali.
Yohana the bird
 
Nipe hizo data sio hizo cooked data, SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe fanya suu tusiwape ARV ndio utaelewa yaan ARV zizimwe SA na huku zizimwe halafu angalia wapi watu wengi wanaanguka
Ongea na WHO:

South Africa has the highest number of people living with HIV globally, with an estimated 7.6 million, and a national HIV prevalence rate of 17.8% among adults, according to the WHO.

Here's a more detailed breakdown of the HIV situation in South Africa based on WHO data:

Key Statistics:
  • People Living with HIV: South Africa has the highest absolute number of people living with HIV in the world, with an estimated 7.6 million people.
  • HIV Prevalence: The national HIV prevalence rate among adults (15-49 years) is 17.8%.
  • New HIV Infections: There were an estimated 160,000 new HIV infections in 2023.
  • AIDS-Related Deaths: South Africa also experiences a significant number of AIDS-related deaths, with an estimated 45,000 in 2023.
  • People on Antiretroviral Treatment: 5.7 million people in South Africa are on antiretroviral treatment
 
Cooked data
 
Nipe hizo data sio hizo cooked data, SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe fanya suu tusiwape ARV ndio utaelewa yaan ARV zizimwe SA na huku zizimwe halafu angalia wapi watu wengi wanaanguka
Akili yako ndogo sana, South Africa wana lishe bora, na nyama ni chakula cha kila siku.

Huwezi kumjuwa mtu mwenye HIV kwa macho South Africa.

Tanzania lishe mbovu lazima mfe zaidi.

Lakini ukweli ni huo South Africa kuna maambizi makubwa ndio wanaongoza lakini ngoma wala haiwadhuru wanakula vizuri.
 
Hiyo mikow kwantaarifa yako tu haitoboi south, takwim zinazochukuliws ni za nchi si eneo. Kama south inaongoza against tz kwa ujumla, njombe na kigoma ni watu wadogo sana?
Nimekupa kwa uchache tu huko nilipotaja hawashangaani eti fulani ana Ukimwi wao ni jambo la kawaida km ilivyo Maralia au Homa ya Mafua sio kwamba wanatishika maana wanaona ni jambo la kawaida fanya suu ARV wasipewe ndio utajua SA ina idadi kubwa au huku ndio tuna idadi kubwa
 
Back
Top Bottom