Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Baabu huku ndio tunawazidi kwa idadi tutabishana mpaka kesho hapaAkili yako ndogo sana, South Africa wana lishe bora, na nyama ni chakula cha kila siku.
Huwezi kumjuwa mtu mwenye HIV kwa macho South Africa.
Tanzania lishe mbovu lazima mfe zaidi.
Lakini ukweli ni huo South Africa kuna maambizi makubwa ndio wanaongoza lakini ngoma wala haiwadhuru wanakula vizuri.