Nini kimesababisha South Africa kuwa na HIV AIDS kwa rate kubwa?

Nini kimesababisha South Africa kuwa na HIV AIDS kwa rate kubwa?

Cooked data bado hoja yako haina mashiko SA tunawazidi kwa idadi nani kakwambia huku hawapo hao gays au kila unaepishana nae kavaa dela kijola unajua ni mwanamke?
Cooked data? Una way ya kolu prove ? Unadata zinazo kinzana?
Make no mistake WHO,south africa National department of heatlh, CDC,UNAIDS? Unaita cooked

Data zimekuwa zikifanyiwa kazi tokea 1980s na amshirika tofauti yet wewe unakinzana nazo?, unadata zinazo kinzana au una empty words?
 
Nipe hizo data sio hizo cooked data, SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe fanya suu tusiwape ARV ndio utaelewa yaan ARV zizimwe SA na huku zizimwe halafu angalia wapi watu wengi wanaanguka
Kuna kipindi South Africa yeye peke yake ilikuwa na zaidi ya 10% ya wenye UKIMWI dunia nzima.

Kwa sasa hali imeshuka kidogo ila miaka ya juzijuzi hapo raia wa SA 1 kati ya 5 wana UKIMWI. Ilikuwa hivyo kwa Botswana na Zimbabwe.

Hizo data unazosema sio cooked utadhani hata data collection methods unazijua. Watu mnaokuwaga na mikwara huwa hamjui na hamjui kuwa hamjui.
 
Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio south wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na sekta ya afya kuzidi kuzidiwa duniani kote.na Kuna tetesi coronavirus ilitengenezwa maabara kidigitali.
Poverty significantly exacerbates the spread of HIV/AIDS by creating conditions that increase vulnerability and risky behaviors, including migration for work, sex work for survival, and a lack of resources for prevention and treatment. Hii ni conspiracy theory, beberu anataka Afrika kusiwe na majanga ya magonjwa kwa sababu wanahitaji wawepo Africa kwa ajili ya resources, Africa ni new frontier ya kiuchumi kwa wazungu na wachina.
 
Za ndaani kbsa ni kuwa kipindi cha Apartheid,weusi walipigwa sana sindano za mdudu,ndio maana takwimu hizo ziko kwa waafrika weusi tu,wazungu wenye mdudu ni negligbly small au hakuna
 
Wakati ukimwi unaingia Thabo Mbeki aliutangazia umma wa wa wasouth kwamba sio ugonjwa. Maambukizi yalikua makubwa sana mpaka kufikia asilimia 40 ya watu wazima kuupata. Wanakuja kurekebisha kwa kutoa dawa tayari wakawa wamechelewa sana. Pia kule inaruhusiwa kufanya mapenzi na yeyote. Zingatia neno "yeyite" na kati ya wanaoongoza kwa ukimwi ni kundi Hilo.
 
Nipe hizo data sio hizo cooked data, SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe fanya suu tusiwape ARV ndio utaelewa yaan ARV zizimwe SA na huku zizimwe halafu angalia wapi watu wengi wanaanguka
Mkuu hakuna anaye pewa ARV Tanzania bila kupimwa.
Tukitumia matumizi ya hizo dawa ndiyo takwimu zenye uhalisia basi takwimu za Tanzania nazo ni sahihi siyo za kupika.
Wafadhili wa ARV wanataka idadi kamili ya dispensed ARVs.
 
Za ndaani kbsa ni kuwa kipindi cha Apartheid,weusi walipigwa sana sindano za mdudu,ndio maana takwimu hizo ziko kwa waafrika weusi tu,wazungu wenye mdudu ni negligbly small au hakuna
Hizi no tetesi za uzushi tu.
Tatizo umasikini na tabia za asili za jamii husika.
 
Cooked data? Una way ya kolu prove ? Unadata zinazo kinzana?
Make no mistake WHO,south africa National department of heatlh, CDC,UNAIDS? Unaita cooked

Data zimekuwa zikifanyiwa kazi tokea 1980s na amshirika tofauti yet wewe unakinzana nazo?, unadata zinazo kinzana au una empty words?
Jinga hilo, ni wa kumpuuza tu.
 
Inazidi njombe

Nenda pale Makete hospital ya Consolata Ikonda ulizia statistics uambiwe
 
Niliwapendeea watoto wa south kupitia isidingo the need ya itv sijui kwann itv waliacha kutosha waliniboa mno
 
Back
Top Bottom