Sasa hao wasouth wanafeli wapi kuvaa mipiraZipo mkuu
Ipo hivi south Africa makaburu walifanya makusudi ku undermine waafrikaNazan nikutokana na malezi mabovu,watoto wapo free sana
Hao ni watu wa mitungi na bata kila mda kwao ni sherehe hasa khosa na zulu ,ndom watatumia saa ngap bwashee?Sasa hao wasouth wanafeli wapi kuvaa mipira
Sawa lete dataMkuu hakuna anaye pewa ARV Tanzania bila kupimwa.
Tukitumia matumizi ya hizo dawa ndiyo takwimu zenye uhalisia basi takwimu za Tanzania nazo ni sahihi siyo za kupika.
Wafadhili wa ARV wanataka idadi kamili ya dispensed ARVs.
Acha upumbavu wa kujisifia ujinga. Ingia hata google uone takwimu za WHO. Au unadhani upo kijiweni kwenu? Pumbav.SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe
Data zipo wapi?We jamaa ni mbishi sana,haujui unachoongeaa,umetokea Kugoma ninin??
Ndio takwimu kwenye wenye grid kwetu ni kubwa wengine hawapimi na hawajijui km wameathirikaMmebweteka Kwavile mlikuwa mnapata dawa bure!! Sasa mtanyooka Trump hataki ingest wenu tena amewakatia misaada.
Ndio nimekwambia wewe mkosa akili sisi na SA sisi tuna idadi kubwa ya waathirikaAcha upumbavu wa kujisifia ujinga. Ingia hata google uone takwimu za WHO. Au unadhani upo kijiweni kwenu? Pumbav.
Kuna mdau amekupa data umezikataa umesema za kupika.Sawa lete data
mkuu kule ni noma,kwenye kila watu 10,wanne wana huo ugonjwa,sema kwa sababu wenzetu uchumi wao upo vizuri,dawa standard kabisa za kupunguza makali Serikali yao inawapatia waathirikaSA inaizidi Njombe, Iringa, Kagera? Yaan tukiweka hio mikoa mitatu tu SA chali
Ndio leta data ambazo hazijapita jikoni nitazikubari na hizo zinaonyesha sisi tumewazidi SAHu
Kuna mdau amekupa data umezikataa umesema za kupika.
Acha uongo rate ya souz kwa nchi za africa ni kubwa mno na inatishaYaan watatuzidi vingine ila sio kwenye hilo jambo takwimu zetu zipo juu
Kwani ARV za SA na za huku tofauti yake nini? Au kule wanapewa na misosi na matunda ila huku unapewa dawa tu msosi na matunda utajijua mwenyewe ndio unavyomaanisha? Emu acheni hizo SA kwetu kwenye idadi tumewazidimkuu kule ni noma,kwenye kila watu 10,wanne wana huo ugonjwa,sema kwa sababu wenzetu uchumi wao upo vizuri,dawa standard kabisa za kupunguza makali Serikali yao inawapatia waathirika
Data zipo wapi? Usiniambie nigoogleAcha uongo rate ya souz kwa nchi za africa ni kubwa mno na inatisha
Maelezo haya unaji contradict na Yale uliyosema SA na TZ wote wasitishe ARV tutapata uhalisia. Kama huku hawapimi hawajui basi wengi hawatumii ARV hivyo tungeona vifo vingi sana kama ulivyotabiri.Ndio takwimu kwenye wenye grid kwetu ni kubwa wengine hawapimi na hawajijui km wameathirika
Wewe hizo ndio data zako za kupikwa si ndio? Ntakupa mifano hai hapa ubakie umeduwaaCooked data? Una way ya kolu prove ? Unadata zinazo kinzana?
Make no mistake WHO,south africa National department of heatlh, CDC,UNAIDS? Unaita cooked
Data zimekuwa zikifanyiwa kazi tokea 1980s na amshirika tofauti yet wewe unakinzana nazo?, unadata zinazo kinzana au una empty words?