Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,648
- 6,693
Ni kweli mkuu pisi za kule hatariNi wazuri na wana maumbo mazuri
Ni kweli mkuu pisi za kule hatariNi wazuri na wana maumbo mazuri
iyo ndio inatakiwa kufanyika ata bongo. ao mnaoita watoto mkafikiri hawafanyi ngono kumbe wanafanya ngono na wanaishia kupata maambukizi kwa kutojikinga.shule ya msingi nikakuta kuna sehemu wameweka box la condom
Hili ndilo jibu sahihi; na mjadala unaweza kuishia hapa. Inasemekana hakuna wanawake wenye matako makubwa kuzidi Waxhosa na Wazulu; na maumbo yao ni yale namba nane. Ukijumlisha na majira ya baridi, na tabia ya Waafrika kupenda ngono; na serikali yao kutojali unategemea nini?Pisi za kizansi ni za moto hatari , hata wewe unaweza upata tu huo ukimwi na usiwaze ikikunasa moja wapo.
Halafu iwe shule, ofisini , kanisani club wao wapo sex tu mda woteNi kweli mkuu pisi za kule hatari
Cooked data bado hoja yako haina mashiko SA tunawazidi kwa idadi nani kakwambia huku hawapo hao gays au kila unaepishana nae kavaa dela kijola unajua ni mwanamke?Yaap hata ifanywe nini. South itaendela ku lead , matter of fact ndio inaongoza dunian to date.
Wa hapa tz hata wakijitokeza hawato kaa waifikie south.
Na kisa cha kwanza cha HIV south kilikutwa kwa gays.
Tz serikal imejitahidi sana kwa kushirikiana na wadau wengine. Wangeachiwa kama south , story ingekuwa nyingine mpaka sasa
Unazijua takwimu au unaropoka ?SA inaizidi Njombe, Iringa, Kagera? Yaan tukiweka hio mikoa mitatu tu SA chali
Weka niweke ila usilete za kupikwa kutoka jikoni kwa mpishi hizo hata unaweza ukafanyaUnazijua takwimu au unaropoka ?
Noma sana mkuu, hao watoto ni fimbo hatari halafu wapo natural, ngozi Zao maumbo yao na wapo sex mda wote lazima unase.Hili ndilo jibu sahihi; na mjadala unaweza kuishia hapa. Inasemekana hakuna wanawake wenye matako makubwa kuzidi Waxhosa na Wazulu; na maumbo yao ni yale namba nane. Ukijumlisha na majira ya baridi, na tabia ya Waafrika kupenda ngono; na serikali yao kutojali unategemea nini?
Mtaji kule watoto wakike ni nyash si mchezo aiseeHistoria nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio south wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na sekta ya afya kuzidi kuzidiwa duniani kote.na Kuna tetesi coronavirus ilitengenezwa maabara kidigitali.
Huwaga bongo watu wanapenda sana kujazana hofu hata kama sio kweli.Yaap hata ifanywe nini. South itaendela ku lead , matter of fact ndio inaongoza dunian to date.
Wa hapa tz hata wakijitokeza hawato kaa waifikie south.
Na kisa cha kwanza cha HIV south kilikutwa kwa gays.
Tz serikal imejitahidi sana kwa kushirikiana na wadau wengine. Wangeachiwa kama south , story ingekuwa nyingine mpaka sasa
Wewe mkundow unakuwasha, kwani Tanzania hujui kuna jamii hawafanyi tohara?Uliwaonaje lakini mboni km unanipa mashaka na jinsia yako?
ukikubali ugonjwa upo maana yake serikali iache mipango yake na ianze kupeleka ela uko jambo ambalo hakuna serikali inapenda. ilitokea amerika wkt HIV inaanza apa bongo wkt wa magu na koronaWalifanya HIV/AIDS denialism, yaani ugonjwa ulivyokuja viongozi wa mda huo waliupuuzia na kuignore ndo maafa yakawa mengi.. ni kama Leo hii uje ugonjwa hatari afu serikali iseme haupo au isichukue tahadhari.. matokeo yake ndo mpaka Leo effect yake inaonekana. I think ni wakati wa Mbeki kama nakosea cheki Wikipedia page "HIV/AIDS denialism"
ukosefu wa elimu kwa weusi unachangia sana kupata mabalaa mengiNa mleta mada unatakiwa kuweka mkazo na wanaongoza ni Watu meusi waliopigania Uhuru
😁 Nimesoma tu heading nikajibu.... Ila huko ndani nadhani hata yeye mwenyewe hajui kaandika nini huyu NDEGE TUMBUSIwe mwenyewe umesoma hicho ulichoandika?
acheni ngono isiyo salama
acheni kusingizia ukoloni
We jamaa ni mbishi sana,haujui unachoongeaa,umetokea Kugoma ninin??Nipe hizo data sio hizo cooked data, SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe fanya suu tusiwape ARV ndio utaelewa yaan ARV zizimwe SA na huku zizimwe halafu angalia wapi watu wengi wanaanguka
Hata wakisoma Bado Self awareness inakuwa ndogoukosefu wa elimu kwa weusi unachangia sana kupata mabalaa mengi