johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Hahahaaaa....... Mchwa ushakula kamba!Hawa vijana enzi za JK na awamu ya kwanza ya JPM walijiona wao ndiyo CCM na CCM ndiyo wao...sasa wanalilia tumboni...wana maumivu zaidi ya yale ya wana CDM....
Tena washukuru kupewa hata hako ka ubunge vinginevyo kikwetu kuna msemo kwamba "mchwa ushakula kamba" ..means hakuna ujenzi hapo!!
Waitara ni kijana?Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti.
Nini kimewatuliza?
Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza wamezimika pia.
Mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine.
Mungu wabariki vijana wa Afrika akina Bobi Wine na Jaffo
Maendeleo hayana vyama!
Mwenziwao Mwigulu amejipendekeza akiunyemelea uwaziri mkuu, awamu ya sita. Uraisi haiwezekani according to ccm,ni zamu ya Muislam,which means bado namuona January ana shines,vinginevo Mwinyi aje agombee aachane na Znz, sidhani kama waislam watakubali wawekewe Hawa wawili Majaliwa,na Jafo...hamna muislam atawakubali.Hahahaaaa....... Mchwa ushakula kamba!
Paul makonda kasoma kitu gani?Awamu ya kwanza ililea wanasiasa wale wale mpaka wanastaafu na wengine mpaka mauti yalipo wafika. Enzi zile wasomi walikua wachache.
Siku hizi kuna vijana wapya wanaibuka na uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Kila mtu ana stahii nafasi.
Wote hao walikuwa wanapambana na wenzao wa upinzani. Bila upinzani imara hakuna mwanaCCM atakaye wika au kusikika. Sasa atasikika akibishana kwa hoja na nani ? Hata bungeni wanaCCM walisikika wakijaribu kupangua hoja na hotuba za wapinzani. Sasa watafanya hayo kwa nani?Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti.
Nini kimewatuliza?
Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza wamezimika pia.
Mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine.
Mungu wabariki vijana wa Afrika akina Bobi Wine na Jaffo
Maendeleo hayana vyama!
48..Kwani ana miaka mingapi?
Sasa gumbo kama mbunge...Ujanana unaishia miaka 36 hao wako 50s
Uongo🙄
Kwani January ni mwislamu?Mwenziwao Mwigulu amejipendekeza akiunyemelea uwaziri mkuu, awamu ya sita. Uraisi haiwezekani according to ccm,ni zamu ya Muislam,which means bado namuona January ana shines,vinginevo Mwinyi aje agombee aachane na Znz, sidhani kama waislam watakubali wawekewe Hawa wawili Majaliwa,na Jafo...hamna muislam atawakubali.
Ubunge kitu gani bhana hata akina Nasra na kundi zima la Covid 19 wamo mjengoni!Sasa gumbo kama mbunge...
Nyota yake imefifia nini
Au we unataka mtu kutwa kuonekana kwenye tv kik sijui kaenda kule kamfumania nani?non sense
Hao uliyowataja bado wana nafasi zao
Au wewe ushazoea siasa za kik
Ova
Aliyekuwa mfalme wa dar sahv anakula bata tuUbunge kitu gani bhana hata akina Nasra na kundi zima la Covid 19 wamo mjengoni!
Ndio jina la kizungu linakubabaisha?Kwani January ni mwislamu?
Kijana mwenye wake wanne!Hivi Jafo naye ni kijana?
Miaka 48 ni kijana?Kijana mwenye wake wanne!
Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti.