Nini kimetokea hadi vijana maarufu wa CCM akina January, Nape, Kigwangalla, Makonda, Gambo nk kuzimika ghafla?

Hawa vijana enzi za JK na awamu ya kwanza ya JPM walijiona wao ndiyo CCM na CCM ndiyo wao...sasa wanalilia tumboni...wana maumivu zaidi ya yale ya wana CDM....

Tena washukuru kupewa hata hako ka ubunge vinginevyo kikwetu kuna msemo kwamba "mchwa ushakula kamba" ..means hakuna ujenzi hapo!!
Hahahaaaa....... Mchwa ushakula kamba!
 
Hivi kijana mwisho miaka mingapi ? Molel naye kijana ???
 
Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti.

Nini kimewatuliza?

Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza wamezimika pia.

Mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine.

Mungu wabariki vijana wa Afrika akina Bobi Wine na Jaffo

Maendeleo hayana vyama!
Waitara ni kijana?
 
Hahahaaaa....... Mchwa ushakula kamba!
Mwenziwao Mwigulu amejipendekeza akiunyemelea uwaziri mkuu, awamu ya sita. Uraisi haiwezekani according to ccm,ni zamu ya Muislam,which means bado namuona January ana shines,vinginevo Mwinyi aje agombee aachane na Znz, sidhani kama waislam watakubali wawekewe Hawa wawili Majaliwa,na Jafo...hamna muislam atawakubali.
 
Awamu ya kwanza ililea wanasiasa wale wale mpaka wanastaafu na wengine mpaka mauti yalipo wafika. Enzi zile wasomi walikua wachache.

Siku hizi kuna vijana wapya wanaibuka na uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Kila mtu ana stahii nafasi.
Paul makonda kasoma kitu gani?
 
Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti.

Nini kimewatuliza?

Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza wamezimika pia.

Mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine.

Mungu wabariki vijana wa Afrika akina Bobi Wine na Jaffo

Maendeleo hayana vyama!
Wote hao walikuwa wanapambana na wenzao wa upinzani. Bila upinzani imara hakuna mwanaCCM atakaye wika au kusikika. Sasa atasikika akibishana kwa hoja na nani ? Hata bungeni wanaCCM walisikika wakijaribu kupangua hoja na hotuba za wapinzani. Sasa watafanya hayo kwa nani?
 
Ujanana unaishia miaka 36 hao wako 50s
Sasa gumbo kama mbunge...
Nyota yake imefifia nini
Au we unataka mtu kutwa kuonekana kwenye tv kik sijui kaenda kule kamfumania nani?non sense
Hao uliyowataja bado wana nafasi zao
Au wewe ushazoea siasa za kik

Ova
 
Mwenziwao Mwigulu amejipendekeza akiunyemelea uwaziri mkuu, awamu ya sita. Uraisi haiwezekani according to ccm,ni zamu ya Muislam,which means bado namuona January ana shines,vinginevo Mwinyi aje agombee aachane na Znz, sidhani kama waislam watakubali wawekewe Hawa wawili Majaliwa,na Jafo...hamna muislam atawakubali.
Kwani January ni mwislamu?
 
Sasa gumbo kama mbunge...
Nyota yake imefifia nini
Au we unataka mtu kutwa kuonekana kwenye tv kik sijui kaenda kule kamfumania nani?non sense
Hao uliyowataja bado wana nafasi zao
Au wewe ushazoea siasa za kik

Ova
Ubunge kitu gani bhana hata akina Nasra na kundi zima la Covid 19 wamo mjengoni!
 
Magu ni chadema wa kimya kimya ndio maana vijana wote wa chadema Leo wanakula neema ccm kwa mgongo wa magu, Viva magu,
 
Walilewa madaraka hadi wengine wakawa wabaya kuliko majambawazi yenyewe kwa kupora mali za watu tena kwa vitisho vikuu!
 
Upepo umekaa vibaya ukileta mbwembwe unakusomba

Back
Top Bottom