LGE2024 Nini kimetokea kiasi kwamba Wananchi hawataki kujiandikisha hadi wanafatwa majumbani na wanatoa majibu ya dharau kwa wahamasishaji?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwa mwendo huu hakuna namna CCM Itatoka madarakani labda miaka 50 ijayo
 
Mshindi anajulikana Sasa nikajiandikishe Ili kitokee nini?

Pili Maendeleo yanaletwa Sasa nikajiandikishe Ili iwaje?

Mwisho,mambo ya siasa sio kipaombele Cha Watanzania,kama unabisha uliza Chadema na maandamano Yao πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hamasa hakuna. Naona vyama vya upinzani viko kimya, hamasa Sana sana inatolewa na chama tawala.
 
Wanaochaguliwa wanaishia "kula"

Badala ya kutimiza wajibu wao wa "kura".
 
Sio kweli,watu wengi wamejiandikisha
 
Kumbe sababu ni nyingi.....zamani wakati wa Wandishi wa Habari za kiuchunguzi wangeingia Field na kutuletea sababu za kwanini Wananchi wanasua sua
 

Wizi wa kura kuanzia wafanyakazi wa serikali mpaka Polisi. Wakiiba mwaka huu mwaka kesho ndiyo itakuwa basi. Msiogope wakiiba Mungu atawatoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…