LGE2024 Nini kimetokea kiasi kwamba Wananchi hawataki kujiandikisha hadi wanafatwa majumbani na wanatoa majibu ya dharau kwa wahamasishaji?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
"Kuna kipindi nadhani ilikuwa kwenye kampeni za uchaguzi 2010, mbunge wa jimbo la Sumve kwa wakati huo ambaye ni marehemu kwa sasa(Richard Ndassa CCM) nilimnukuu kwenye mojawapo ya mkutano wa kampeni akisema "Upige kura ama usipige kura au umpigie kura mpinzani wangu, nitapita tu na mbunge wa jimbo hili bado hajazaliwa".
Tangu wakati huo sijawahi kujihusisha na masuala ya kupiga kura.
 
Jamaa Leo kaomba Hela ya lunch mhamasishaji akajibu "hiyo sikupewa" nikacheka tu. Yaani tokea UCHAGUZI vyama vingi kipindi hiki ndicho sitoenda kupiga kura au kujiandikisha.
 
Daah
 
Bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi,hapatafanyika uchaguzi wowote wa HAKI.

Ndicho kinachotokea,

Wananchi wanagoma kutumika kuhalalisha wizi wa kura.

By the way, uende ukamchague nani, ana jipyya lipi?
Kazi ipo
 
Jamaa Leo kaomba Hela ya lunch mhamasishaji akajibu "hiyo sikupewa" nikacheka tu. Yaani tokea UCHAGUZI vyama vingi kipindi hiki ndicho sitoenda kupiga kura au kujiandikisha.
Aisee
 
Back
Top Bottom