Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Keep on dreaming. You just wait.Sijui ndio kuunga mkono juhudi za mama? Sijui ndio utendaji wao wa kazi? Awamu hii ya Rais Samia kuna mabadiliki makubwa nimeyaona ndani ya jeshi la polisi.
Kwa mara ya kwanza tangu nchi imepata uhuru, naona kuna Ma-RPC wengi wanawake kuliko awamu nyingine.
RPC wa Tanga ni mwanamama, RPC wa Singida ni mwanamama, RPC wa Rukwa/Katavi ni mwanamke. Na hapo sijajua kwa mikoa mingine
Je ni awamu inawabeba au mfumo dume umeanza kupigwa chini au ndio utendaji kazi wao umeonekana zaidi awamu hii?
Kwa mtindo huu tutegemee siku moja tutapata IGP wa kike...i have a dream...siku si nyingi
Ata Mbeya pia RTO ni kama mwanamkeHata ma-RTO
Rto wa mwanza ni mwanamke, Njombe ni mwanamke,Kilimanjaro ni mwanamke na pwani kama sijakosea ni mwanamke.
Ila bado ni wachache kwa kweli.
Huyo namuelewa sanaIGP nasikia mama anamtaka yule anaitwaa sijui Kaganda nani nani hivi... Nchi soon inaelekea kuwa ya kike sijui tutaweeka wapi sura zetu
Hilo la IGP wa kike lipo mlangoni, siku si nyingi.Sijui ndio kuunga mkono juhudi za mama? Sijui ndio utendaji wao wa kazi? Awamu hii ya Rais Samia kuna mabadiliki makubwa nimeyaona ndani ya jeshi la polisi.
Kwa mara ya kwanza tangu nchi imepata uhuru, naona kuna Ma-RPC wengi wanawake kuliko awamu nyingine.
RPC wa Tanga ni mwanamama, RPC wa Singida ni mwanamama, RPC wa Rukwa/Katavi ni mwanamke. Na hapo sijajua kwa mikoa mingine
Je ni awamu inawabeba au mfumo dume umeanza kupigwa chini au ndio utendaji kazi wao umeonekana zaidi awamu hii?
Kwa mtindo huu tutegemee siku moja tutapata IGP wa kike...i have a dream...siku si nyingi
Hivi Rais Mstaafu Mzee Mwinyi alipokuwa akisema kuwa anashangaa Wanawake kuwa Masikini wakati Uchumi mkubwa Wameukalia alikuwa na maana gani labda?Sijui ndio kuunga mkono juhudi za mama? Sijui ndio utendaji wao wa kazi? Awamu hii ya Rais Samia kuna mabadiliki makubwa nimeyaona ndani ya jeshi la polisi.
Kwa mara ya kwanza tangu nchi imepata uhuru, naona kuna Ma-RPC wengi wanawake kuliko awamu nyingine.
RPC wa Tanga ni mwanamama, RPC wa Singida ni mwanamama, RPC wa Rukwa/Katavi ni mwanamke. Na hapo sijajua kwa mikoa mingine
Je ni awamu inawabeba au mfumo dume umeanza kupigwa chini au ndio utendaji kazi wao umeonekana zaidi awamu hii?
Kwa mtindo huu tutegemee siku moja tutapata IGP wa kike...i have a dream...siku si nyingi
HQ hapa Dodoma anasoma magazeti[emoji28][emoji28][emoji28] ila kuna ishu alinisadia akiwa Pwani.HV wankyo saimon Yuko wapi wazee
Ni sawa kwa kuwa hizo nafasi ni hazina ugumu tofauti na post za wakuu wa upelelezi mikoa ambayo inaonekana Tanzania nzima hakuna mwanamke hata mmojaSijui ndio kuunga mkono juhudi za mama? Sijui ndio utendaji wao wa kazi? Awamu hii ya Rais Samia kuna mabadiliki makubwa nimeyaona ndani ya jeshi la polisi.
Kwa mara ya kwanza tangu nchi imepata uhuru, naona kuna Ma-RPC wengi wanawake kuliko awamu nyingine.
RPC wa Tanga ni mwanamama, RPC wa Singida ni mwanamama, RPC wa Rukwa/Katavi ni mwanamke. Na hapo sijajua kwa mikoa mingine
Je ni awamu inawabeba au mfumo dume umeanza kupigwa chini au ndio utendaji kazi wao umeonekana zaidi awamu hii?
Kwa mtindo huu tutegemee siku moja tutapata IGP wa kike...i have a dream...siku si nyingi
Mkuu hii nimeiona hata kwa wakuu wa wilaya..hakika mama anaupiga mwingi.Sijui ndio kuunga mkono juhudi za mama? Sijui ndio utendaji wao wa kazi? Awamu hii ya Rais Samia kuna mabadiliki makubwa nimeyaona ndani ya jeshi la polisi.
Kwa mara ya kwanza tangu nchi imepata uhuru, naona kuna Ma-RPC wengi wanawake kuliko awamu nyingine.
RPC wa Tanga ni mwanamama, RPC wa Singida ni mwanamama, RPC wa Rukwa/Katavi ni mwanamke. Na hapo sijajua kwa mikoa mingine
Je ni awamu inawabeba au mfumo dume umeanza kupigwa chini au ndio utendaji kazi wao umeonekana zaidi awamu hii?
Kwa mtindo huu tutegemee siku moja tutapata IGP wa kike...i have a dream...siku si nyingi
Na wewe unakubali ujinga?Mkuu hii nimeiona hata kwa wakuu wa wilaya..hakika mama anaupiga mwingi.