Nini kimetokea polisi? Siku hizi wanawake wengi nao ni ma-RPC

IGP anajitahidi kucheza na camera.
Enzi za Jiwe sampuli ya muroto ndio walikuwa wanatakiwa ili kumsuuza roho mkuu wa malaika.
Enzi hizi ni kuwapa kina mama kipaombele ili mama mkubwa nae afurahi
Lakini honestly askari wanawake wenye vyeo vikubwa ni wachapa kazi sana na ni no non sense
 
Toa mfano
 

Rpc Songwe mwanamama na rpc ilala pia mwanamama
 
IGP nasikia mama anamtaka yule anaitwaa sijui Kaganda nani nani hivi... Nchi soon inaelekea kuwa ya kike sijui tutaweeka wapi sura zetu
wacheni mfumo dume
 
Ujui tunaongozwa na mama ambaye lengo lake wanawake watawale kila sehemu mpaka majumbani mwetu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
ELIMU,WELEDI,BAHATI NA KUJUANA
 
Siku hizi kelele za mfumo dume hazisikiki tena.. Ni wakati wao
 
Uzi huu sijauelewa kabisa,
Kwani masomo ya fani zao huwa ni ya Me na Ke
 
Hii nchi kuendelea ngumu maana unafiki umejaa
 
Hata ma-RTO
Rto wa mwanza ni mwanamke, Njombe ni mwanamke,Kilimanjaro ni mwanamke na pwani kama sijakosea ni mwanamke.
Ila bado ni wachache kwa kweli.
Aliyekuwa Pwani, kwa sasa amehamishiwa Ofisi ya ZTO Dar es salaam, ni SSP Ndozero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…