Nini kimetokea Prof. Kahyarara, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda kuwa RAS Geita?

Kichwani umejaza tope
 
Una wivu mkali sana
 
Nimeangalia michango ya baadhi humu wanamlaumu profesa ila unaweza kuona ni mtu muhimu katika shughuli za kiserikali ndio maana anaamishwa amishwa tu.

Asije akawa kama diwani
 
Punguza jazba
Ndio maana nimesema elimu nzuri anayo sijui shida ni kwenye uongozi!
Sasa kelele ya nini?
Ucha Mungu contributes kitu fulani fulani kwa maisha ya mwanadamu…
Nchi zilizoendelea lalalalilololo ( we have been there tunajua zaidi ya ujuavyo) Twende pole pole bro ah ahaaa… usinifokee khe! I
 
Ana wivu huyo, huenda alikuwa mchepuko wa professor
 
Kahyarara alifanya madudu ya kutisha pale NSSF, zaidi ya kusifia vyeti vyake na arrogance iliyozidi kipimo huyo jamaa ni mtupu wa kiwango chake. Ieleweke kupata elimu kubwa, kuwa mzuri sana darasani haukufanyi kuwa bora katika service delivery.

Ku utilize resources na knolegde ulimwengu mwingine kabisa tofauti na kutema content darasani kisha kumsaishia mwanafunzi aliyekariri ulichomtemea.

Ndio maana developed world walishavuka kwenye uga wa kuabudu vyeti sana.

Hayo ya ucha Mungu wa wazazi wake hayaongezi chochote kwenye quality service
Mwanzo ulianza vizuri nami nimekujibu vizuri tu sasa jazba kwatika majibu yangu inatoka wapi? Au nawewe ni miongoni mwa wasomi wa hovyo wa kiafrika? Maana wasomi wa kiafrika wengi wao huwezi watofautisha na washenzi, japo wana kipato lakini ni walafi , wanyimi, wasengenyaji na hoja za kuuma huita matusi na haki zao za msingi kwao huona fadhila.
 
Una makasiriko. Haijawahi kutokea watu kufanana na haitatokea. Badala ya makasiriko, ungejielekeza kwenye kilichomtoa Prof wizarani hadi Geita na sio kumshambulia au kushambulia vyeo vya watu.
Watu mliojiajiri bana! Mnadhani kwamba watu wanaoteuliwa wao hawana vyanzo vingine vya mapato!
Unaelekea kwenye sifa za watu wa Rungwe kaka.
 
Nilishavuka huko, kipindi naacha kazi serikalini nilifikia ngazi ya ukurugenzi wa idara pale MFA, nikaja huku kwenye international organizations. Siishi maisha ya kupangiwa tena nini cha kufanya. Najipangia mwenyewe na nimejiajiri.
Umejiajiri kwenye IGO?
 

Ni mabadiliko ya kawaida kama yanavyotokea mara kwa mara. Pia amepunguziwa mzigo wa majukumu tu kwa sababu mshahara wa RAS na posho ya madaraka ni sawa sawa na Katibu Mkuu. Hawapishani hata senti tano kwa taarifa yako!
 

Wanaokata hiyo 30M wapo wangapi hapa nchini, labda tupe takwimu kwanza ili tukujibu vizuri!
 

Hata kufundisha darasani ni service delivery, labda tueleze ni service delivery gani unayotaka kutuambia hapa!
 

Wewe unatumia nini katika majukumu yako nje ya vyeti vya darasani? Ndiyo maana unaandika ‘knoledge’ badala ya knowledge!
 
UMESEMA HATOSHI basi NDICHO kilichomtokea
 
Alikuwa udsm akaenda nssf akavurunda,akakaa bench ,akarudi na sasa kavurunda tena,huyu kiea udsm tulikuwa tunashonda nae kwenye kijiwe cha magazeti,shabiki kindakindaki wa utopolo
Prof wa Nchi hii hamna kitu
 
Wazazi wake wanahusikaje hapo?
 
Nimeangalia michango ya baadhi humu wanamlaumu profesa ila unaweza kuona ni mtu muhimu katika shughuli za kiserikali ndio maana anaamishwa amishwa tu.

Asije akawa kama diwani
Hamna umuhimu wowote,jiwe alivyomtoa Kichere Kutoka TRA akampeleka Kua RAS njombe alikuja akasema 'Baba wa watu huyu nilimtoa TRA nikampeleka Njombe na Wala hakua analalamika lalamika na leo nimemtua kua CAG'.

Ndipo nikajua hio Ni demotion tu, hakuna Cha afisa kipenyo wala nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…