Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Kichwani umejaza topeKuna level ukiipita katika maisha kuna vitu utaona vya kawaida sana. Na kuna level ukiwa katika maisha kuna vitu kwako unaweza kuviona ni ndoto. Kuna mtu anaiona iphone 13 pro max kwake ni ndoto na kuna mtu naona ni kitu cha kawaida.
Kuna watu huko wanaona ukuu wa mkoa ambao mtu hauzidi 5M ni ndoto na kuna wanaoona hiyo ni hela mbuzi maana kwakujiajiri anaingiza zaidi ya hiyo kwa mwezi.
Hawa chawa wa UVCCM ambao hawajawahi ingia kwenye service scheme yoyote kwao laki moja tu huwafanya wakatane mitama maana ni ndoto kwao na kwa vile chama chao ni cha kijamaa hudumaza akili na kipato chao ili kiendelee kuwatumia kwa kuwaangushia tende na finyango za nyama.
Hajui kuna watu wanakataa u MD wenye package hadi 30M hapa nchini achilia mbali hivyo vyeo uchwara vya u DC na U RC ambavyo hao chawa wa CCM ni ndoto lwao.