residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hamna kitu zaidi ya kujikomba komba tu.Kahyarara ni mtu wa hovyo sana sijui Samia alimrudisha wanini.
Hana tofauti na wasomi wengine wa kiafrika ambao pamoja na usomi wao hawana tofauti na washenzi.
Halafu mtu humu anakuja na ngonjera za ucha Mungu.... pale NSSF jamaa alikua na zile arrogance za kihaya za kitotonkabisa hata mtoto wa form four hakuwa nazo... mpenda majungu kupitiliza na nepotism.... huyu jamaa aliididimiza kabisa NSSF then unampa serious position kama katibu mkuu wa wizara serious?Hamna kitu zaidi ya kujikomba komba tu.
Yaani hata huo u RAS hatoshi kwa kweli.
Propaganda za wawekezaji waliopatikana tokana na ziara za Mh. Rais zitakuwa zimemuondoa. Alikuwa anasema uongo wa dhahiri kabisa huku mate yakimtoka.
Mwendazake alimpa NSSFKazi iendelee!
Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS.
Sijui nini kimempata huyu Prof hadi kuonekana hatoshi kwenye nafasi ya kuwa Katibu Mkuu.
Tumtakie kila la heri katika nafasi yake mpya ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita.
View attachment 2306732
Unaongozwa na chuki sana mkuu hasa hapo kuwa shabiki wa mabingwaAlikuwa udsm akaenda nssf akavurunda,akakaa bench ,akarudi na sasa kavurunda tena,huyu kiea udsm tulikuwa tunashonda nae kwenye kijiwe cha magazeti,shabiki kindakindaki wa utopolo
Huyo utopolo tulikuwa tunabishania mpira kijiwe cha magazeti utadhani sio profesaUnaongozwa na chuki sana mkuu hasa hapo kuwa shabiki wa mabingwa
Mkuu una hoja kwenye hili ukiachana na usomi wa kukariri vitini shida nyingine ni siasa na uongozi wa mazoea na wasomi wakipewa nafasi wanaendeleza upuuzi jumlisha wiziNchi hii siku ikiacha kuabudu vyeti vya shule pekee na kuangalia ufanisi sidhani kama tutatoka hapo tulipo kwenda hatua nyingine. Kuna shida kubwa sana ya elimu zetu na bahati mbaya tunapeana nafasi sababu ya vyeti bila kuangalia na mambo mengine ya utendaji kazi. Angalia wafanya biashara wa kubwa sio wasomi na hata viongozi bora kutokea pia sio wasomi. Nchi hii tumefika hapa sababu ya hawa hawa wasomi ni wakati utendaji na ufanisi iwe kigezo bila kudharau elimu tufanye mix ya vyote.
Ndiyo imetoka hiyo.Kazi iendelee!
Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS.
Sijui nini kimempata huyu Prof hadi kuonekana hatoshi kwenye nafasi ya kuwa Katibu Mkuu.
Tumtakie kila la heri katika nafasi yake mpya ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita.
View attachment 2306732
Ameshapotezwa dira huyo. Kila post anayopewa ni demotion. Ajiongeze, arudi kwenye taaluma. La sivyo mwisho wake itakuwa "kwaheri mwalimu".Kazi iendelee!
Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS.
Sijui nini kimempata huyu Prof hadi kuonekana hatoshi kwenye nafasi ya kuwa Katibu Mkuu.
Tumtakie kila la heri katika nafasi yake mpya ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita.
View attachment 2306732
Siyo arudi kula chakiHawa ni Maprofesa wa makaratasi tu ! Duniani hawajui kitu! Huyu Profesa uchwara so ndo alituambia Samia ktk kipindi kifupi ameingizia TAIFA Dola (USD) bilioni sijui mia ngapi!
Profesa wa Uchumi hajua hata maana ya Dola(USD) bilioni 1.Huyo hata angepelekwa kuwa Katibu Tarafa angekubali tu!
Huu mchango wako ndugu Heijah , unafaa utengenezewe fremu kisha uwekwe kwenye meza ya mwenye mamlaka ya uteuzi.Nchi hii siku ikiacha kuabudu vyeti vya shule pekee na kuangalia ufanisi sidhani kama tutatoka hapo tulipo kwenda hatua nyingine. Kuna shida kubwa sana ya elimu zetu na bahati mbaya tunapeana nafasi sababu ya vyeti bila kuangalia na mambo mengine ya utendaji kazi. Angalia wafanya biashara wa kubwa sio wasomi na hata viongozi bora kutokea pia sio wasomi. Nchi hii tumefika hapa sababu ya hawa hawa wasomi ni wakati utendaji na ufanisi iwe kigezo bila kudharau elimu tufanye mix ya vyote.
Mh Balozi Lusungo shikamooNilishavuka huko, kipindi naacha kazi serikalini nilifikia ngazi ya ukurugenzi wa idara pale MFA, nikaja huku kwenye international organizations. Siishi maisha ya kupangiwa tena nini cha kufanya. Najipangia mwenyewe na nimejiajiri.
Ph.D nimeshaidharau Sana,mtu Kama Jiwe aliweza kuipata sijui Nani itamshinda.
Kichwani umejaza tope
Toka Mazengo mpaka udsm pamoja nayeAmenifundisha econo pale udsm na kale ka sauti kak.
Atakuwa amekaribia kustaafu anasogea kwao kagera.
Zao la harvad hilo.
Hadhi yao huwa inaporomoka pale wanapotoka kwenye taaluma kuingia kwenye siasa za kuteuliwa. Nafasi salama kwao ni ubunge tu.Kazi iendelee!