residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hamna kitu zaidi ya kujikomba komba tu.Kahyarara ni mtu wa hovyo sana sijui Samia alimrudisha wanini.
Hana tofauti na wasomi wengine wa kiafrika ambao pamoja na usomi wao hawana tofauti na washenzi.
Yaani hata huo u RAS hatoshi kwa kweli.
Propaganda za wawekezaji waliopatikana tokana na ziara za Mh. Rais zitakuwa zimemuondoa. Alikuwa anasema uongo wa dhahiri kabisa huku mate yakimtoka.