Nini kimetokea Prof. Kahyarara, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda kuwa RAS Geita?

Kahyarara ni mtu wa hovyo sana sijui Samia alimrudisha wanini.

Hana tofauti na wasomi wengine wa kiafrika ambao pamoja na usomi wao hawana tofauti na washenzi.
Hamna kitu zaidi ya kujikomba komba tu.
Yaani hata huo u RAS hatoshi kwa kweli.
Propaganda za wawekezaji waliopatikana tokana na ziara za Mh. Rais zitakuwa zimemuondoa. Alikuwa anasema uongo wa dhahiri kabisa huku mate yakimtoka.
 
Halafu mtu humu anakuja na ngonjera za ucha Mungu.... pale NSSF jamaa alikua na zile arrogance za kihaya za kitotonkabisa hata mtoto wa form four hakuwa nazo... mpenda majungu kupitiliza na nepotism.... huyu jamaa aliididimiza kabisa NSSF then unampa serious position kama katibu mkuu wa wizara serious?
 
Huyu alipewa NSSF na Hayati Dr Magufuli akamfukuza kazi kwa tuhuma za ubadhirifu wa ujenzi wa barabara ya kuunganisha daraja la kigamboni upande wa vijibweni
 
Kazi iendelee!

Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS.

Sijui nini kimempata huyu Prof hadi kuonekana hatoshi kwenye nafasi ya kuwa Katibu Mkuu.

Tumtakie kila la heri katika nafasi yake mpya ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita.

View attachment 2306732
Mwendazake alimpa NSSF
 
Huyu alipewa NSSF na Hayati Dr Magufuli akamfukuza kazi kwa tuhuma za ubadhirifu wa ujenzi wa barabara ya kuunganisha daraja la kigamboni upande wa vijibweni
Aisee kumbe!
 
Alikuwa udsm akaenda nssf akavurunda,akakaa bench ,akarudi na sasa kavurunda tena,huyu kiea udsm tulikuwa tunashonda nae kwenye kijiwe cha magazeti,shabiki kindakindaki wa utopolo
Unaongozwa na chuki sana mkuu hasa hapo kuwa shabiki wa mabingwa
 
Nchi hii siku ikiacha kuabudu vyeti vya shule pekee na kuangalia ufanisi sidhani kama tutatoka hapo tulipo kwenda hatua nyingine. Kuna shida kubwa sana ya elimu zetu na bahati mbaya tunapeana nafasi sababu ya vyeti bila kuangalia na mambo mengine ya utendaji kazi. Angalia wafanya biashara wa kubwa sio wasomi na hata viongozi bora kutokea pia sio wasomi. Nchi hii tumefika hapa sababu ya hawa hawa wasomi ni wakati utendaji na ufanisi iwe kigezo bila kudharau elimu tufanye mix ya vyote.
Mkuu una hoja kwenye hili ukiachana na usomi wa kukariri vitini shida nyingine ni siasa na uongozi wa mazoea na wasomi wakipewa nafasi wanaendeleza upuuzi jumlisha wizi
 
Wakati mwingine unapelekwaga huko kwenye Ukatibu Tawala kama maandalizi ya kupewa nafasi nyeti.

Nisichojua bado ni kama unapelekwa huko kupewa mafunzo maalumu au uangalizi maalumu (au kuangalia reaction yako ukishushwa hivyo).
 
Kazi iendelee!

Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS.

Sijui nini kimempata huyu Prof hadi kuonekana hatoshi kwenye nafasi ya kuwa Katibu Mkuu.

Tumtakie kila la heri katika nafasi yake mpya ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita.

View attachment 2306732
Ndiyo imetoka hiyo.
 
Ameshapotezwa dira huyo. Kila post anayopewa ni demotion. Ajiongeze, arudi kwenye taaluma. La sivyo mwisho wake itakuwa "kwaheri mwalimu".
 
Hawa ni Maprofesa wa makaratasi tu ! Duniani hawajui kitu! Huyu Profesa uchwara so ndo alituambia Samia ktk kipindi kifupi ameingizia TAIFA Dola (USD) bilioni sijui mia ngapi!
Profesa wa Uchumi hajua hata maana ya Dola(USD) bilioni 1.Huyo hata angepelekwa kuwa Katibu Tarafa angekubali tu!
Siyo arudi kula chaki
 
Nchi hii siku ikiacha kuabudu vyeti vya shule pekee na kuangalia ufanisi sidhani kama tutatoka hapo tulipo kwenda hatua nyingine. Kuna shida kubwa sana ya elimu zetu na bahati mbaya tunapeana nafasi sababu ya vyeti bila kuangalia na mambo mengine ya utendaji kazi. Angalia wafanya biashara wa kubwa sio wasomi na hata viongozi bora kutokea pia sio wasomi. Nchi hii tumefika hapa sababu ya hawa hawa wasomi ni wakati utendaji na ufanisi iwe kigezo bila kudharau elimu tufanye mix ya vyote.
Huu mchango wako ndugu Heijah , unafaa utengenezewe fremu kisha uwekwe kwenye meza ya mwenye mamlaka ya uteuzi.
 
Prof. Kahyarara tunamjua sana kuanzia UDSM, NSSF na hata mitaani.

Kwanza Uprofesa wake ni fake. Alipewa Uprofesa kinamna, na hata baadhi ya washiriki waliandika barua za kupinga yeye kupewa Uprofesa.

Nyenzo yake kuu ya kusoma ni kukariri na ku-reproduce kwenye mitihani. uwezo wake wa uchambuzi ni mdogo sana. Ila kung’ng’ania mambo na kudai kuwa yeye ni wa viwango vya juu humshindi.

Yeye hudai kuwa ni mtu wa system na kuwa yuko well-connected. Mambo mengi anayafanya bisivyo na kudai kuwa hayo ni maagizo kutoka juu, kitu ambacho ni uongo mtupu. Alipofika tu aliandika barua ya kuikabidhi Serikali Daraja la Kigamboni kwa maamuzi yake bila hata Bodi. Hii ilikuwa kichekesho.

Pale NSSF inasemekana alivuruga mambo mengi na hivyo kui-derail NSSF ambayo hadi sasa inasemekana haijatengamaa. Msualanya rushwa na totos kwake ni mambo ya kawaida sana. Nashangaa mtu anasema kuwa anatoka familia ya wacha Mungu. Inawezekana kwa wazazi wake, lakini siyo yeye.

Baada ya kupigwa chini na JPM, sisi tunaomjua vizuri tulijua Serikali imerudi to its sense. Kuja kuona kateuliwa Permanent Secretary tulishangaa sana, na tulijua hakuna kinachoendelea pale.

Huyo ni hasara kwa Taifa.
 
Kazi iendelee!

Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS.

Sijui nini kimempata huyu Prof hadi kuonekana hatoshi kwenye nafasi ya kuwa Katibu Mkuu.

Tumtakie kila la heri katika nafasi yake mpya ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita.

View attachment 2306732
Hadhi yao huwa inaporomoka pale wanapotoka kwenye taaluma kuingia kwenye siasa za kuteuliwa. Nafasi salama kwao ni ubunge tu.
 
Back
Top Bottom