makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kuna vitu vinahitaji akili ya kuzaliwa, sasa shabiki kinachokuumiza kwa ujinga wa viongozi ni ninj, mbaya zaidi huchangii hata senti, ukiwa mpenzi wa mpira kuliko shabiki we unaenjoy soka tu.Ni tatizo ,na ubaya wanaumia mashabiki ambao wanaitetea club
Na vitu ambavyo vinahitaji akili zaidi ni kujua umuhimu na manufaha ya mashabiki katika klabu haijalishi unachangia ama huchangii ndio maana club zinafanya kila jitihada kutafuta mashabiki muda mwingine ata kuwa zawadi na bidhaa bure kuwa vutia wawapate haohao unaowaona wewe hawana faida yyt. Mzee tuliza akili yako tujadili soka kwa akili zetu timamu kunusuru klabu zetu na soka kwa ujumla. Mashabiki wanapaswa kusikilizwa na kutimiziwa maoni yao.Kuna vitu vinahitaji akili ya kuzaliwa, sasa shabiki kinachokuumiza kwa ujinga wa viongozi ni ninj, mbaya zaidi huchangii hata senti, ukiwa mpenzi wa mpira kuliko shabiki we unaenjoy soka tu.
Nadhani jina la Lionel wakajua ndio MesiNdugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni?
Soma Pia:
𝗟𝗜𝗢𝗡𝗘𝗟 𝗖𝗛𝗥𝗜𝗦𝗧𝗜𝗔𝗡 𝗔𝗧𝗘𝗕𝗔 🇨🇲
- Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki
- Dirisha bado halijafungwa, Simba tafuteni mbadala wa Fredy na ngoma tu, halafu kazi imeisha
Douala FC | Cameroon 🇨🇲
◉ 06 - Six months
◉ 16 - Games.
◉ 06 - Goals scored.
◉ 02 - Assist.
USM Alger | Algeria 🇩🇿
◉ 06 - Six months.
◉ 16 - Games.
◉ 01 - Goal scored.
◉ 03 - Assists.
ℹ️ Lionel Ateba katika mashindano yote akiwa USM Alger amecheza mechi (24), amefunga magoli (3) na Assists (7).
🎮 16 ⚽ 1 🎯 3 - Ligi kuu 🇩🇿
🎮 04 ⚽ 2 🎯 2 - FA cup 🇩🇿
🎮 04 ⚽ 0 🎯 2 - CAF Confederations cup.
Key 🔑
_____________
🎮 - Games
⚽ - Goals scored.
🎯 - Assist
Lionel Cristiano anaitwa, 2 GOATS in 1😂😂Nadhani jina la Lionel wakajua ndio Mesi
Sasa kama simba yetu ya msimu uliopita ikivyokuwa tia maji tia maji, ukifungwa uumie, si unakufa na presha, timu inacheza kama kikundi cha ngoma🤣Ayo yote ni kwasababu ya tambo tu na kweli muda mwingine izi timu zinatukatisha tamaa lakini bado haiondoi ushabiki wako. Bora game za kimataifa utasema labda uwezo na figisu plus mipango ya wenzetu wametuzidi . je kuhusu game za ndani 😂?
Mzee umejilipua kuongea ivo maana watachukua point wale jamaa 😂😂Sasa kama simba yetu ya msimu uliopita ikivyokuwa tia maji tia maji, ukifungwa uumie, si unakufa na presha, timu inacheza kama kikundi cha ngoma🤣
Hapa tunaongea soka, ila nikiamua niongee kishabiki hawatoboi pia... Mie naweza kuingia banda la mpira tumefungwa na nikawanyamazisha wapinzani 🤣😂Mzee umejilipua kuongea ivo maana watachukua point wale jamaa 😂😂
Haha Sikupatii picha aseh kama unawamudu kiasi iki kwa kipindi iki. Sema nimewai mwambia mtu kuwa Simba inaonekana mbovu kwasbb ya kulinganishwa na Young Africans ila wakikubaliana na hali na wacheze jihadi basi wataonesha makubwa maana Azam FC hawezi toboa mbele ya mnyama ata game achezeshe Zaka za KaziHapa tunaongea soka, ila nikiamua niongee kishabiki hawatoboi pia... Mie naweza kuingia banda la mpira tumefungwa na nikawanyamazisha wapinzani 🤣😂
Sasa watu wenyewe ukimtoa manara baba mtu na kikwete, wengine woote hawana akili, sasa mtu hana akili ananishindaje mie. 😂Haha Sikupatii picha aseh kama unawamudu kiasi iki kwa kipindi iki. Sema nimewai mwambia mtu kuwa Simba inaonekana mbovu kwasbb ya kulinganishwa na Young Africans ila wakikubaliana na hali na wacheze jihadi basi wataonesha makubwa maana Azam FC hawezi toboa mbele ya mnyama ata game achezeshe Zaka za Kazi
haha😂😂 mkuuSasa watu wenyewe ukimtoa manara baba mtu na kikwete, wengine woote hawana akili, sasa mtu hana akili ananishindaje mie. 😂
Acha tuSimba imepigwa
Haji huyo najua alishalikiroga.Mwasibu OKW BOBAN SUNZU tunaomba kwanza zile takwimu zako za kihasibu kwa huyu mchezaji ili tuone kama ni kweli viongozi wamekosea kumsajili, au la.
Mhasibu alishatoa ya moyoni 😂Haji huyo najua alishalikiroga.