Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

Kuna vitu vinahitaji akili ya kuzaliwa, sasa shabiki kinachokuumiza kwa ujinga wa viongozi ni ninj, mbaya zaidi huchangii hata senti, ukiwa mpenzi wa mpira kuliko shabiki we unaenjoy soka tu.
Na vitu ambavyo vinahitaji akili zaidi ni kujua umuhimu na manufaha ya mashabiki katika klabu haijalishi unachangia ama huchangii ndio maana club zinafanya kila jitihada kutafuta mashabiki muda mwingine ata kuwa zawadi na bidhaa bure kuwa vutia wawapate haohao unaowaona wewe hawana faida yyt. Mzee tuliza akili yako tujadili soka kwa akili zetu timamu kunusuru klabu zetu na soka kwa ujumla. Mashabiki wanapaswa kusikilizwa na kutimiziwa maoni yao.
 
Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni?

Soma Pia:
𝗟𝗜𝗢𝗡𝗘𝗟 𝗖𝗛𝗥𝗜𝗦𝗧𝗜𝗔𝗡 𝗔𝗧𝗘𝗕𝗔 🇨🇲

Douala FC | Cameroon 🇨🇲

◉ 06 - Six months
◉ 16 - Games.
◉ 06 - Goals scored.
◉ 02 - Assist.

USM Alger | Algeria 🇩🇿

◉ 06 - Six months.
◉ 16 - Games.
◉ 01 - Goal scored.
◉ 03 - Assists.

ℹ️ Lionel Ateba katika mashindano yote akiwa USM Alger amecheza mechi (24), amefunga magoli (3) na Assists (7).

🎮 16 ⚽ 1 🎯 3 - Ligi kuu 🇩🇿
🎮 04 ⚽ 2 🎯 2 - FA cup 🇩🇿
🎮 04 ⚽ 0 🎯 2 - CAF Confederations cup.

Key 🔑
_____________
🎮 - Games
⚽ - Goals scored.
🎯 - Assist
Nadhani jina la Lionel wakajua ndio Mesi
 
Ayo yote ni kwasababu ya tambo tu na kweli muda mwingine izi timu zinatukatisha tamaa lakini bado haiondoi ushabiki wako. Bora game za kimataifa utasema labda uwezo na figisu plus mipango ya wenzetu wametuzidi . je kuhusu game za ndani 😂?
Sasa kama simba yetu ya msimu uliopita ikivyokuwa tia maji tia maji, ukifungwa uumie, si unakufa na presha, timu inacheza kama kikundi cha ngoma🤣
 
Sasa kama simba yetu ya msimu uliopita ikivyokuwa tia maji tia maji, ukifungwa uumie, si unakufa na presha, timu inacheza kama kikundi cha ngoma🤣
Mzee umejilipua kuongea ivo maana watachukua point wale jamaa 😂😂
 
Hapa tunaongea soka, ila nikiamua niongee kishabiki hawatoboi pia... Mie naweza kuingia banda la mpira tumefungwa na nikawanyamazisha wapinzani 🤣😂
Haha Sikupatii picha aseh kama unawamudu kiasi iki kwa kipindi iki. Sema nimewai mwambia mtu kuwa Simba inaonekana mbovu kwasbb ya kulinganishwa na Young Africans ila wakikubaliana na hali na wacheze jihadi basi wataonesha makubwa maana Azam FC hawezi toboa mbele ya mnyama ata game achezeshe Zaka za Kazi
 
Sasa watu wenyewe ukimtoa manara baba mtu na kikwete, wengine woote hawana akili, sasa mtu hana akili ananishindaje mie. 😂
 
Back
Top Bottom