Shida ndio hio hapo hakuna nyingine, kumfundisha mtoto kuna namna 2 moja ni kumpa mbinu na namna ya kuvua samaki au mbili kumpa samaki kila anapoomba kupewa samaki hapo ndipo kunapoanzia tatizo lenyewe la vifo vya makampuni, mtoto kashazoea kupewa samaki yeye samaki kuvua hajui unafikiri siku akipewa ndoana akavue na hakuwahi kufundishwa kuvua atafanya nini? Km sio kuitupa ndoanaKwanini mabasi mengi hufa baada ya waasisi kuwaachia watoto shida huwa nini?
Bunda bus........hata kama ni wewe kila siku kijana anataka aweke heshima bar kwa pesa ama mali za kurithi kweli zitadumu?Nianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa.
Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz,
Ndio mabasi yakwanza kuwa na choo kwa ndani.
Marcopolo yakwanza bongo ni Hood ndio ilileta, hata madereva waliofanya kazi katika mabasi ya hood wote walitajirika sana.
Kwanini mabasi mengi hufa baada ya waasisi kuwaachia watoto shida huwa nini?
Mfano Ngorika, Mtei, Osaka, Mberesero, dar express, Royal coach, bembea, kimotco, fresh ya shamba n.k
Kwahiyo kosa lipo kwa wazazi na sio watoto sasa, kwa nlivokuelewaMaono na ustadi wa baba na mtoto ni tofauti
Lakini pia mali ya mwafrika huwa hataki kushirikisha mwanae namaanisha sio longterm. Kwa hio unakuta siku akifa ndio watoto sasa wanaannza kushughurika na kazi ya baba ambayo kwao inakuwa dillema
Wayahudi, wahindi, wazungu wametuzidi
Tunasema ni mabwenyenye ila kiukweli wana jenga generational wealth.
Huku wakati baba ako anatumia pesa ya dharula kupangishia malaya kila kona ya mji, mzungu yeye anasomesha mtoto masomo yanayaoendana na biashara aliyonayo.
A big yesKwahiyo kosa lipo kwa wazazi na sio watoto sasa, kwa nlivokuelewa
Great thinkerShida ndio hio hapo hakuna nyingine, kumfundisha mtoto kuna namna 2 moja ni kumpa mbinu na namna ya kuvua samaki au mbili kumpa samaki kila anapoomba kupewa samaki hapo ndipo kunapoanzia tatizo lenyewe la vifo vya makampuni, mtoto kashazoea kupewa samaki yeye samaki kuvua hajui unafikiri siku akipewa ndoana akavue na hakuwahi kufundishwa kuvua atafanya nini? Km sio kuitupa ndoana
GTMaono na ustadi wa baba na mtoto ni tofauti
Lakini pia mali ya mwafrika huwa hataki kushirikisha mwanae namaanisha sio longterm. Kwa hio unakuta siku akifa ndio watoto sasa wanaannza kushughurika na kazi ya baba ambayo kwao inakuwa dillema
Wayahudi, wahindi, wazungu wametuzidi
Tunasema ni mabwenyenye ila kiukweli wana jenga generational wealth.
Huku wakati baba ako anatumia pesa ya dharula kupangishia malaya kila kona ya mji, mzungu yeye anasomesha mtoto masomo yanayaoendana na biashara aliyonayo.
Kuna picture mo dewji aliwahi kupost X akiwa yupo china na baba yake Wakati akiwa na umri kama wa miaka 15sio mabasi tu, biashara nyingi na miradi mingi mikubwa ya sisi Wabongo hufa kwa sababu mwanzilishi hakushirikisha watoto wake mapema, hakumwandaa mtu wa kuja kusimamia mapema, wengi hung'ang'ania kuongoza mpk anakuwa mzee au hana nguvu tena ndio anaweka mtu wa kusimamia, ambaye hajui chochote (biashara zina siri nyingi) wakati ilitakiwa kumwandaa mtoto mapema, hii ni tofauti sana kwa ndugu zetu Wahindi, mtoto mdogo akitoka shule anaenda dukani, anauza na kurudisha change mzazi akiwa pembeni...mfano mzuri ni MO Dewji kuna kijana wake ambaye anamwandaa vzr sana kuja kushika nafasi na mara nyingi kila mahali anakuwa naye...
π€£ππ€£πWatu tunalala na Nyoka ndani unadhani mtoto ataweza mzee?
πππππNimecheka sanaWatu tunalala na Nyoka ndani unadhani mtoto ataweza mzee?
Shida ni kumpata huyo mtoto anaeweza kutunza Siri, na ambae hawezi kukugeuka siku za usoni wengi hua na hofu hio maana mtoto ni mtu pia hata km umemzaa mwenyewe kuna namna ya kumuandaa kua vile unavyotaka awebiashara zina siri nyingi) wakati ilitakiwa kumwandaa mtoto mapema
Nyoka gani?Watu tunalala na Nyoka ndani unadhani mtoto ataweza mzee?