hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Speaking of kulala na nyoka , Hii Huwa ni nini !?Watu tunalala na Nyoka ndani unadhani mtoto ataweza mzee?
Speaking of kulala na nyoka , Hii Huwa ni nini !?Watu tunalala na Nyoka ndani unadhani mtoto ataweza mzee?
alienda kuonyeshwa machimbo na kukutanishwa na wadau wa maana...sasa hivi kuna picha za yeye na mtoto wake mtoto ambaye unaaza kumpa majukumu mapema huo muda wa kwenda kuweka heshima bar anautoa wapi?Kuna picture mo dewji aliwahi kupost X akiwa yupo china na baba yake Wakati akiwa na umri kama wa miaka 15
Ndio inavyo paswa kuwa ,alienda kuonyeshwa machimbo na kukutanishwa na wadau wa maana...sasa hivi kuna picha za yeye na mtoto wake mtoto ambaye unaaza kumpa majukumu mapema huo muda wa kwenda kuweka heshima bar anautoa wapi?
huyo kijana hakupewa kazi/majukumu mapema hakufundishwa nidhamu ya hela mapema, hakupewa uhuru wa fedha mapema, kama umefanikiwa ni vzr kumpa mtoto kiasi fulani cha hela mwambie ni za kwako unataka kuzifanyia nini? msikilize....then mshauri namna ya kutumia hela kutengeneza hela ktk umri mdogo akikua hatachezea helaBunda bus........hata kama ni wewe kila siku kijana anataka aweke heshima bar kwa pesa ama mali za kurithi kweli zitadumu?
hao tunaoita wazazi wetu zama zao zimeshapita...sisi ndio wazazi sasa je! na sisi watoto wetu watakuja kusema wazazi wetu?......Ndio inavyo paswa kuwa ,
Tatizo lipo Kwa wazazi wetu nasio vinginevyo
Fedha zenye masharti....nyingi unakuta zimepatikana kwa njia za uchawiSpeaking of kulala na nyoka , Hii Huwa ni nini !?
Huyo nyoka unakuwa unalala Nae kweli !?Fedha zenye masharti....nyingi unakuta zimepatikana kwa njia za uchawi
Utashirikishaje wanao wakati umezaa na wanawake tofauti.Maono na ustadi wa baba na mtoto ni tofauti
Lakini pia mali ya mwafrika huwa hataki kushirikisha mwanae namaanisha sio longterm. Kwa hio unakuta siku akifa ndio watoto sasa wanaannza kushughurika na kazi ya baba ambayo kwao inakuwa dillema
Wayahudi, wahindi, wazungu wametuzidi
Tunasema ni mabwenyenye ila kiukweli wana jenga generational wealth.
Huku wakati baba ako anatumia pesa ya dharula kupangishia malaya kila kona ya mji, mzungu yeye anasomesha mtoto masomo yanayaoendana na biashara aliyonayo.
Kimotco kama ni wale wa national housing ngarenaro, ile kampuni ipo chini ya wanasiasa fulani za chini ya kapeti japo sina ushahidi.Sipingani na hoja yako, ila kuna mahali umekosea kidogo, naomba nikurekebishe, siyo kweli kwamba hao wote uliowataja mali zao zimeisha baada ya kuachia watoto, nina mfano hai, umeitaja Kimotco! Hii kampuni naijua kwa ukaribu mno, nimefanya nao kazi tokea wanapeleka abiria kiteto kwa kutumia land rover, mzee John alikuja kukosana na watoto wake wakati ndiyo ameagiza kiji bus chake kidogo ili kuboresha ruti yake ya kiteto,naikumbuka vizuri hiyo gari, ilipigiwa rangi nje ya geti letu, ikaandikwa Scarlet, kabla hata gari haijapiga ruti tano mzee akaamua kuondoka nyumbani na kuwaachia watoto wake(Ben, Salenda,na Japhet) kila kitu, akaenda dar kuanza moja, mkuu, leo Kimotco iko juu kileleni, inakila aina ya bus, kuanzia za kichina hadi za kizungu, wana kampuni ya usafirishaji wa mizigo, hapo kuna ma scania,ma howo, ma faw nk, na walishahama national house long time,sasa hivi kila mmoja anaishi ki don, nimeachana nao muda, na muda kidogo nilisikia kuna mmoja wao aliaga dunia,i dont know exactly who, Mtei ipo imara hadi leo, na yule mzee sidhani kama amesha Rip, last time nilimuona kwake sakina silent inn akitoka kwenda kwenye ofisi zake pale kilombero, ngorika ipo,japo inapumulia mashine, Mberesero ndiyo mzee mwenyewe, ni baba yao na Kimotco, Hatco, chatco, na kama sikosei hata Osaka pia, yaani ndiye baba mzazi wao
Yep! Ni haohao, wanasiasa gani bana? Pale hakuna cha mwanasiasa wala dalali wa mwanasiasa, Ben amekaza msuli kwelikweli, angekuwa yule mdogo wake bonge(Salenda) kampuni ingeshakufa long time, Japhet hana interest na magari, Angel sijui yupo wapi as of now, hao kina Hatco,Chatco, na Osaka walishatokomea zamani kabisa, Ben nitamtetea to the maximum, ameweza! Na mkewe Irene(my classmate) naye si mpole when it comes to hustleKimotco kama ni wale wa national housing ngarenaro, ile kampuni ipo chini ya wanasiasa fulani za chini ya kapeti japo sina ushahidi.
Mtei saiv sio kama ile ya zamani.
Hatco si alikuwaga na malori ila nahisi saivi yule mzee atakuwa marehemu maana alikuwa na madeni mpaka kwa madalali.
Kuna hajees, na Hajis, Hajis ni ya yule mzee wa arusha mtata mtata, wanamuita haji haji, aliyekuwa na ma mbuzi yanayozunguka mji mzima bila mchungaji, mbuzi zake zilikuwa zinachungwa na mbwa tu, sasa mkoromee mbuzi uone balaa la mbwa, hata akitafuna muhogo wako jikoni inabidi uwe mpole tu, ukimgusa mbwa wananunua kesi.Hajees kwani ishakufa ile kampuni ya Tanga?
Neema ya Mungu.. 🙏Yaani kama mabasi ya Dar express saivi yanabeba wafanyakazi wa mkonge huko Tanga. Na yalikuwa mabasi yaliyokuwa pendwa road.
😂 we jamaa kumbe ndio ulikuwa unakaa pale jirani na kimotco, itakuwa nakufahamu maana nlikuwa nashindaga pale cleopatra weekend.Yep! Ni haohao, wanasiasa gani bana? Pale hakuna cha mwanasiasa wala dalali wa mwanasiasa, Ben amekaza msuli kwelikweli, angekuwa yule mdogo wake bonge(Salenda) kampuni ingeshakufa long time, Japhet hana interest na magari, Angel sijui yupo wapi as of now, hao kina Hatco,Chatco, na Osaka walishatokomea zamani kabisa, Ben nitamtetea to the maximum, ameweza! Na mkewe Irene(my classmate) naye si mpole when it comes to hustle
Kuendesha biashara ya gari za abiria au malori ni kipengele...Nianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa.
Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz,
Ndio mabasi yakwanza kuwa na choo kwa ndani.
Marcopolo yakwanza bongo ni Hood ndio ilileta, hata madereva waliofanya kazi katika mabasi ya hood wote walitajirika sana.
Kwanini mabasi mengi hufa baada ya waasisi kuwaachia watoto shida huwa nini?
Mfano Ngorika, Mtei, Osaka, Mberesero, dar express, Royal coach, bembea, kimotco, fresh ya shamba n.k
Naunga mkia hoja.Maono na ustadi wa baba na mtoto ni tofauti
Lakini pia mali ya mwafrika huwa hataki kushirikisha mwanae namaanisha sio longterm. Kwa hio unakuta siku akifa ndio watoto sasa wanaannza kushughurika na kazi ya baba ambayo kwao inakuwa dillema
Wayahudi, wahindi, wazungu wametuzidi
Tunasema ni mabwenyenye ila kiukweli wana jenga generational wealth.
Huku wakati baba ako anatumia pesa ya dharula kupangishia malaya kila kona ya mji, mzungu yeye anasomesha mtoto masomo yanayaoendana na biashara aliyonayo.