Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 11,394
- 21,391
Mwenyewe akiwepo enzi zile Bandari kavu ya Isaka ipo hot ilikuwa kampuni kubwa mno ile!SAS bado ipo
BTW: Bado malori yao wanatumia rangi hiyohiyo nyekundu?
Mwenyewe akiwepo enzi zile Bandari kavu ya Isaka ipo hot ilikuwa kampuni kubwa mno ile!SAS bado ipo
Ndio.. 🙏 wanatumia rangi nyekundu na nyeupe na buzwagi huwa inatumia malori hayoMwenyewe akiwepo enzi zile Bandari kavu ya Isaka ipo hot ilikuwa kampuni kubwa mno ile!
BTW: Bado malori yao wanatumia rangi hiyohiyo nyekundu?
Mzee Ulianza Kitambo sana, Nauli 150? Duh Baada ya chai maharage, Kitmer Safari na Muziki. Anauza Spare tu Mhindi yuleKuendesha biashara ya gari za abiria au malori ni kipengele...
Mimi miaka ile ya Mwaibula nilikuwa namiliki daladala Kosta ya mwenge mbagala, nauli ilikuwa Tsh 150/= na hiace ya tegeta via mwenge.....mchakamchaka wake sio wa kitoto.... kipindi kile kosta mpya million 20 mpk 18, hiace million 5 2L, biashara ya magari Ina mambo mengi sana.. kwa mabasi ndio kabisaa....Kosta yangu mwanzo ilikuwa inaenda dodoma nauli Elfu Saba mwaka 2003.... unakuta mpaka narud Dar kondakta mwenyewe mkononi nimebakia na Elfu sitini tu.....
haraka nikaisajili Daladala....
nilikuja kufirisika vibaya hata nyumba sikujenga kmanina...nimekuja kujenga kwa ishu zingine...,... sasaivi sitaki kabisa kusikia biashara ya magari,kwanza yalinirudisha nyuma pakubwa....mixer ukipigiwa simu na dereva unatokwa na jasho lingi hata kama upo kwenye ACE..
SAS bado wapo juu na ndio maboss wanaonunua Mitumba ya Scania za KisauziNdicho kilitokea kwa Bunda Bus pia.
Itakuwa usimamizi maana zipo kampuni upande wa usafirishaji wa malori nazo zilijifia kwa wenyewe kufa mfano ilikuwepo SAS.
Kwa jinsi wabongo wengi walivo maskini ingelikua masharti hayo tu ndo yanafanya watu wawe matajiri basi watz wengi sana wangekua matajiri1. Unaweza mtiti wa viboko kila siku usiku?
2. Unaweza kubusu nyoka?
Umeua baba 100%Maono na ustadi wa baba na mtoto ni tofauti
Lakini pia mali ya mwafrika huwa hataki kushirikisha mwanae namaanisha sio longterm. Kwa hio unakuta siku akifa ndio watoto sasa wanaannza kushughurika na kazi ya baba ambayo kwao inakuwa dillema
Wayahudi, wahindi, wazungu wametuzidi
Tunasema ni mabwenyenye ila kiukweli wana jenga generational wealth.
Huku wakati baba ako anatumia pesa ya dharula kupangishia malaya kila kona ya mji, mzungu yeye anasomesha mtoto masomo yanayaoendana na biashara aliyonayo.