Nimekuelewa vp Tashriff na bembea bado zipo Capt TamarKuna hajees, na Hajis, Hajis ni ya yule mzee wa arusha mtata mtata, wanamuita haji haji, aliyekuwa na ma mbuzi yanayozunguka mji mzima bila mchungaji, mbuzi zake zilikuwa zinachungwa na mbwa tu, sasa mkoromee mbuzi uone balaa la mbwa, hata akitafuna muhogo wako jikoni inabidi uwe mpole tu, ukimgusa mbwa wananunua kesi.
Siuona ona sasa Gen Z mlivyo watu wa ovyoNyoka gani?
Wa God first yupo mkuu aliyefariki karibuni ni wa chakaby, bus za mwanza mbeyaWaarabu na Wahindi wana succession plan nzuri sana
Mmiliki wa mabasi ya AN Classic alikufa kwenye ajali ya basi la AN na siku hiyo yeye ndiye alikuwa dereva Mbeya-Tabora chuma ikala buyu Chunya
Ulizia sasa hivi kampuni inaendaje? Mwaka jana mwishoni wameagiza mikwaju mipya ya Yutong D14 kutoka China
Angalia wamiliki wa kibongo sasa, Sauli mmiliki wa mabasi ya Sauli alipokufa na kampuni ikafa
Mmiliki wa mabasi ya God First Luxury amekufa hivi karibuni hii kampuni ikitoboa miaka 5 ni kwa neema mark this comment
Umenikumbusha baba angu huu msemo wake.Shida ndio hio hapo hakuna nyingine, kumfundisha mtoto kuna namna 2 moja ni kumpa mbinu na namna ya kuvua samaki au mbili kumpa samaki kila anapoomba kupewa samaki hapo ndipo kunapoanzia tatizo lenyewe la vifo vya makampuni, mtoto kashazoea kupewa samaki yeye samaki kuvua hajui unafikiri siku akipewa ndoana akavue na hakuwahi kufundishwa kuvua atafanya nini? Km sio kuitupa ndoana
Inabidi umfundishe kulala nae azoee, ili hata usipokuwepo nyoka aweze kupata mtu wa kulala nae.Watu tunalala na Nyoka ndani unadhani mtoto ataweza mzee?
Asante sana kwa point of correction ngoja nikaedit commentWa God first yupo mkuu aliyefariki karibuni ni wa chakaby, bus za mwanza mbeya
Fresh ya Shamba alikiuka masharti ya mganga. Hajafa yuko Mbeya ni mtu wa kawaida tuNianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa.
Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz,
Ndio mabasi yakwanza kuwa na choo kwa ndani.
Marcopolo yakwanza bongo ni Hood ndio ilileta, hata madereva waliofanya kazi katika mabasi ya hood wote walitajirika sana.
Kwanini mabasi mengi hufa baada ya waasisi kuwaachia watoto shida huwa nini?
Mfano Ngorika, Mtei, Osaka, Mberesero, dar express, Royal coach, bembea, kimotco, fresh ya shamba n.k
Kwa wabongo, naona Wachaga wana hii desturi.sio mabasi tu, biashara nyingi na miradi mingi mikubwa ya sisi Wabongo hufa kwa sababu mwanzilishi hakushirikisha watoto wake mapema, hakumwandaa mtu wa kuja kusimamia mapema, wengi hung'ang'ania kuongoza mpk anakuwa mzee au hana nguvu tena ndio anaweka mtu wa kusimamia, ambaye hajui chochote (biashara zina siri nyingi) wakati ilitakiwa kumwandaa mtoto mapema, hii ni tofauti sana kwa ndugu zetu Wahindi, mtoto mdogo akitoka shule anaenda dukani, anauza na kurudisha change mzazi akiwa pembeni...mfano mzuri ni MO Dewji kuna kijana wake ambaye anamwandaa vzr sana kuja kushika nafasi na mara nyingi kila mahali anakuwa naye...
Yule wa AN alikuwa ni mtotoWaarabu na Wahindi wana succession plan nzuri sana
Mmiliki wa mabasi ya AN Classic alikufa kwenye ajali ya basi la AN na siku hiyo yeye ndiye alikuwa dereva Mbeya-Tabora chuma ikala buyu Chunya
Ulizia sasa hivi kampuni inaendaje? Mwaka jana mwishoni wameagiza mikwaju mipya ya Yutong D14 kutoka China
Angalia wamiliki wa kibongo sasa, Sauli mmiliki wa mabasi ya Sauli alipokufa na kampuni ikafa
Mmiliki wa mabasi ya Chakaby amekufa hivi karibuni hii kampuni ikitoboa miaka 5 ni kwa neema mark this comment
Hivi yule jamaa aliendaga kufungua kampuni yake ya mabasi au vipi?Kwa hood Inaelezwa madogo walimpiga chini aliyekuwa msimamizi na ndie aliyekuwa jiran na mzee kisa hakuwa mwanafamilia ila alilelewa na mzee wao nandio aliweza kuiendesha the rest madogo wakachemka kuiendesha baada wakata kumrudisha mwamba ikawa too late alikataaaa kurud maden yalikuwa mengi madogo bata nyingi
Mzee Mtei yupo hai chief. Waliokufa ni wanawe wawili watatu hiviii! Ila mzee bado yupo!Nianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa.
Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz,
Ndio mabasi yakwanza kuwa na choo kwa ndani.
Marcopolo yakwanza bongo ni Hood ndio ilileta, hata madereva waliofanya kazi katika mabasi ya hood wote walitajirika sana.
Kwanini mabasi mengi hufa baada ya waasisi kuwaachia watoto shida huwa nini?
Mfano Ngorika, Mtei, Osaka, Mberesero, dar express, Royal coach, bembea, kimotco, fresh ya shamba n.k
SAS bado ipoNdicho kilitokea kwa Bunda Bus pia.
Itakuwa usimamizi maana zipo kampuni upande wa usafirishaji wa malori nazo zilijifia kwa wenyewe kufa mfano ilikuwepo SAS.