Nini kinachangia makampuni ya mabasi kufa, pindi waasisi wanapokufa au kuwaachia watoto?

Mzee Ulianza Kitambo sana, Nauli 150? Duh Baada ya chai maharage, Kitmer Safari na Muziki. Anauza Spare tu Mhindi yule

Umenikumbusha hadi Chuga ''Yaseko Trans'' KIA Left hand Mini Bus Moshi Arusha

Mimi Mwenyewe yananitesa ila sichoki huwa napumzika tu then narejesha kwa road. ile pesa ni tamu sema madereva wanazingua dawa usikubali dereva wa kupewa anasababisha huruma alafu huwa ni washenzi tu. akianza kuzingua unafukuza tu na mauchawi yao.. Gari ukifungua bonnet hirizi zimefichwa choma moto kisha gari inapumzika mwezi au miezi miwili poa tu zingine zinatembea. Dereva ukimkomalia pesa anajenga lengo ufiilisike nawapatia sana akisema bovu namuambia apaki sina pesa na nikipata nitatengeneza anajifanya anafundi mkopeshaji, namuambia hapana namuacha akipata lingine huko nami natafuta mwingine. maisha yanaenda
 
Ndicho kilitokea kwa Bunda Bus pia.

Itakuwa usimamizi maana zipo kampuni upande wa usafirishaji wa malori nazo zilijifia kwa wenyewe kufa mfano ilikuwepo SAS.
SAS bado wapo juu na ndio maboss wanaonunua Mitumba ya Scania za Kisauzi
 
Umeua baba 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…