Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,172
Kwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.
Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la kuweka msisitizo .
Hadi leo sijaona wala kusikia yeyote aliyetajwa au kuhusishwa na tuhuma husika akikamatwa ,kuitwa au hata kuhojiwa kwa njia yoyote ile.
Najiuliza hivi yawezekana Kikwete wenda nikwasababu ana kinga kisheria ya kutokushitakiwa ,lakini vipi kwa Rostam nae anaweza kuwa na kinga pia?
Hivi hilo si ndiyo kosa la UHAINI tena ule wenyewe wenyewe kabisa ?
Sasa inakuwaje mbona sioni police wakiwashika au hata kupokea wito kutoka mahakamani , wanawaogopa? Vipi na Rais wa TLS nae hana mamlaka ya kufile case hao watu wakaitwa na kuhojiwa?
Nini kipo nyuma ya hii saga?