Nini kinachofanya Rostam, Kikwete na wana mtandao wengine hadi leo wasikamatwe?

Ila yule mwamba anaconfidence yakiwango cha juu sana , yule mwamba kwenye ile nafasi ametoshea kikwelikweli hadi amefanya mtoto wangu atamani kuwa mwanasheria.
Pia mwana mtandao mwandamizi hupiga simu mahakamani, simu moja tu humletea matokeo chanya

Ila tuwe wakweli vifurushi vya bilioni 66 vikipatikana 10 kwa mwaka ni pesa nyingi sana huko Williamson
 
Tungekuwa na Jeshi imara ambalo linaongozwa na majenerali wazalendo, naamini kabisa kwa haya yalisomwe na Pole pole kwanzia kwenye makaa ya mawe mpaka hilo la kumuua Raisi, sasa hivi Samia na mafisadi wenzie wangekuwa mafichoni, huku taharuki ikitanda kila mahali.

Watu pekee wanaoweza kudeal na hao wana mtandao ni JWTZ basi.

Ila kwa vile jeshi letu lenyewe tayari limeshawekwa mfukoni na mafisadi watu wanapata vyeo kutokana na ukaribu walionao na hao wanamtandao... basi tutegemee kuona hao wana mtandao wakiendelea kutamba hata kwa miaka 30 ijayo na kila raisi anayeingia madarakani atakuwa chini yao.
 
Ila wakati Magufuli anasema tutamkumbuka tena kwa mema sikuwa miongoni mwa watu waliyobahatika kumuelewa kwa wakati .

Jamaa alikuwa amenyooka sana ,eneo pekee lililofanya nimchukie ni pale alipopigwa risasi Lissu ila kwingine kote jamaa alikuwa ni mashine tena lamsituni , jamaa alikuwa haogopi kitu aisee
He was gift to this poor country.
 
Kwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.

Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la kuweka msisitizo .

Hadi leo sijaona wala kusikia yeyote aliyetajwa au kuhusishwa na tuhuma husika akikamatwa ,kuitwa au hata kuhojiwa kwa njia yoyote ile.

Najiuliza hivi yawezekana Kikwete Wenda nikwasababu anawezekana ya kutokushitakiwa ,lakini vipi kwa Rostam nae anaweza kuwa na kinga pia?

Hivi hilo sinikosa la UHAINI tena ule wenyewe wenyewe kabisa ? Sasa inakuwaje mbona sioni police wakiwashika au hata kupokea witu kutoka mahakamani , wanawaogopa? Vipi na Rais wa TLS nae hana mamlaka ya kufile case hao watu wakaitwa na kuhojiwa?

Nini kipo nyuma ya hii saga?
Hawana ushahidi wa wazi wa kuwatia hatiani zaidi ya hear say na hisia za watu!!

Hatutarajii hatua za kimahakama zitumike kuhusu hilo Santa sana kama Kuna ukweli itafanyika hukumu ya kimedani kuwahusu kama wao wanavyoshukiwa kuwa walihusika!!

Mi nilitarajia pole pole angeitwa mahakamani kuthibitisha hizo tuhuma coz kazisema wazi wazi publicly!

KAZI na utu,tunasonga mbele!
 
Nchi ina wenyewe, tukae kwa kutulia haswa sisi masikini jeuri ambao hatuna kitu , Aziz mtu mkubwa leo hii anamiliki mgodi wa Mwadui , kama huna taarifa basi kuwa nayo na watu wanafurushwa daily hapo Mwadui, Kikwete na Mama ni kitu kimoja kwahiyo ambaye angemchukulia hatua ukute wanakula sahani moja.
 
Kwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.

Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la kuweka msisitizo .

Hadi leo sijaona wala kusikia yeyote aliyetajwa au kuhusishwa na tuhuma husika akikamatwa ,kuitwa au hata kuhojiwa kwa njia yoyote ile.

Najiuliza hivi yawezekana Kikwete Wenda nikwasababu anawezekana ya kutokushitakiwa ,lakini vipi kwa Rostam nae anaweza kuwa na kinga pia?

Hivi hilo sinikosa la UHAINI tena ule wenyewe wenyewe kabisa ? Sasa inakuwaje mbona sioni police wakiwashika au hata kupokea witu kutoka mahakamani , wanawaogopa? Vipi na Rais wa TLS nae hana mamlaka ya kufile case hao watu wakaitwa na kuhojiwa?

Nini kipo nyuma ya hii saga?
Hivi mtu akikurupuka tu kutaja huyu kaua yuke,huyu kauwa yule qnakamatwa? huo ndio utawala wa sheri mbona yeye polepole hajakamatwa kwa tuhuma za kutaka kumuua tundu lissu?
 
Hao uliowataja hapo hata wakitaka wanaweza kukukamata, wakakufunga kamba, wakakuchinja hadharani pale kwa Mkapa kama kuku na mtu asiwafanye chochote.

Unazungumzia kukamatwa, tena kwa habari ambazo bado zinahitaji uthibitisho?
​
 
Kumhujumu rais aliyeko madarakani ndio uhanini wenyewe hivi vyombo vilikuwa wapi hadi haya yote yanafanyika
 
Kwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.

Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la kuweka msisitizo .

Hadi leo sijaona wala kusikia yeyote aliyetajwa au kuhusishwa na tuhuma husika akikamatwa ,kuitwa au hata kuhojiwa kwa njia yoyote ile.

Najiuliza hivi yawezekana Kikwete Wenda nikwasababu anawezekana ya kutokushitakiwa ,lakini vipi kwa Rostam nae anaweza kuwa na kinga pia?

Hivi hilo sinikosa la UHAINI tena ule wenyewe wenyewe kabisa ? Sasa inakuwaje mbona sioni police wakiwashika au hata kupokea witu kutoka mahakamani , wanawaogopa? Vipi na Rais wa TLS nae hana mamlaka ya kufile case hao watu wakaitwa na kuhojiwa?

Nini kipo nyuma ya hii saga?
😆😆😆😆😆
 
Hao uliowataja hapo hata wakitaka wanaweza kukukamata, wakakufunga kamba, wakakuchinja hadharani pale kwa Mkapa kama kuku na mtu asiwafanye chochote.

Unazungumzia kukamatwa, tena kwa habari ambazo bado zinahitaji uthibitisho?
​
Ni sawa na unajitekenya ukitegemea utacheka

Expecting results from what you know

kutegemea matokeo chanya kwenye jambo unalo lijua
 
Nenda kawakamate shida iko wapi?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Adui tuliyenae aliwahi kuwa rafiki yetu kwahiyo anatufahamu vzuri,
Jinsi tulivyo watz udhaifu mwingi kwenye mambo ya msingi na uimara mwingi kwenye mambo ya kipuuzi,

kama taifa tuna mtihani mkubwa Sana Kwa sababu katika harakati za kujikwamua wengine huturudisha nyuma tukiamini ni wenzetu kumbe hatuko pamoja,
 
Muda
Kwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.

Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la kuweka msisitizo .

Hadi leo sijaona wala kusikia yeyote aliyetajwa au kuhusishwa na tuhuma husika akikamatwa ,kuitwa au hata kuhojiwa kwa njia yoyote ile.

Najiuliza hivi yawezekana Kikwete Wenda nikwasababu anawezekana ya kutokushitakiwa ,lakini vipi kwa Rostam nae anaweza kuwa na kinga pia?

Hivi hilo sinikosa la UHAINI tena ule wenyewe wenyewe kabisa ? Sasa inakuwaje mbona sioni police wakiwashika au hata kupokea witu kutoka mahakamani , wanawaogopa? Vipi na Rais wa TLS nae hana mamlaka ya kufile case hao watu wakaitwa na kuhojiwa?

Nini kipo nyuma ya hii saga?
Muda utatupa majibu
 
Back
Top Bottom