Nini kinachofanya Rostam, Kikwete na wana mtandao wengine hadi leo wasikamatwe?

Sio watu wote ni wapumbavu kama huyo PLPL kwamba watatumikia siasa za kizushi Kwa misingi ya njaa na chuki binafsi.
Ni kweli hawawezi kuwa kama Pole pole ila nina uhakika wengi wao wameamua kuwalinda na kuwalamba makalio watawala kwa sababu ya njaa,ulimbukeni na ujinga kama ulivyo wewe.

Kama mlivyo nyie machawa huku mtandaoni mnavyotia kinyaa kwa kutetea utawala dhalimu wa samia unaofanya ufisadi wa kihistoria kwa ujira duni mnaolipwa, hata hao JWTZ wengi wao wameamua kufumbia macho maovu yanayofanywa na wana mtandao kwa matumaini ya kuzawadiwa vyeo na malupu lupu hapo baadae wakishatoka kwenye nafasi zao.

Ushauri tu kwako wewe na hao mabwanyenye wa mtandao unaowatetea, ukiona wanainchi wamefikia hatua ya kukosa imani na jeshi linalowalinda, basi ujue tayari taifa hilo liko uchi kiulinzi kwenye macho ya maadui na lolote likitokea ni ngumu sana jeshi hilo kuwashinda maadui, maana hata raia wanaweza kuwa upande wa adui.
 
Dah! Sasa tunatokaje hapa wazee ,hivi hakuna hata mtu mmoja ajitolee tu ili Taifa lipone?
 
Kwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.

Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la kuweka msisitizo .

Hadi leo sijaona wala kusikia yeyote aliyetajwa au kuhusishwa na tuhuma husika akikamatwa ,kuitwa au hata kuhojiwa kwa njia yoyote ile.

Najiuliza hivi yawezekana Kikwete Wenda nikwasababu anawezekana ya kutokushitakiwa ,lakini vipi kwa Rostam nae anaweza kuwa na kinga pia?

Hivi hilo sinikosa la UHAINI tena ule wenyewe wenyewe kabisa ? Sasa inakuwaje mbona sioni police wakiwashika au hata kupokea witu kutoka mahakamani , wanawaogopa? Vipi na Rais wa TLS nae hana mamlaka ya kufile case hao watu wakaitwa na kuhojiwa?

Nini kipo nyuma ya hii saga?
Hao uliwataja ndiyo wamiliki wa hii serikali hivyo hawaezi kuguswa hao.
 
Amini amini nakuambia. Siku TAL atakapochukua nchi, utamtafuta Rostam Tanzania nzima hadi Zanzbar hutamuona
 
Na wanapambana sana kuhakikisha anakosa sifa ya kuja kuwa Rais wa Tanzania.
 
Kwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.

Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la kuweka msisitizo .

Hadi leo sijaona wala kusikia yeyote aliyetajwa au kuhusishwa na tuhuma husika akikamatwa ,kuitwa au hata kuhojiwa kwa njia yoyote ile.

Najiuliza hivi yawezekana Kikwete Wenda nikwasababu anawezekana ya kutokushitakiwa ,lakini vipi kwa Rostam nae anaweza kuwa na kinga pia?

Hivi hilo sinikosa la UHAINI tena ule wenyewe wenyewe kabisa ? Sasa inakuwaje mbona sioni police wakiwashika au hata kupokea witu kutoka mahakamani , wanawaogopa? Vipi na Rais wa TLS nae hana mamlaka ya kufile case hao watu wakaitwa na kuhojiwa?

Nini kipo nyuma ya hii saga?
Sababu ni kwamba HAWAWEZI KUJIKAMATA.
 
Ila wakati Magufuli anasema tutamkumbuka tena kwa mema sikuwa miongoni mwa watu waliyobahatika kumuelewa kwa wakati .

Jamaa alikuwa amenyooka sana ,eneo pekee lililofanya nimchukie ni pale alipopigwa risasi Lissu ila kwingine kote jamaa alikuwa ni mashine tena lamsituni , jamaa alikuwa haogopi kitu aisee
Kwanini hakuwawajibisha? Na shutuma hizo zipo siku nyingi. Na yeye pia alikuwa secretive na kuna mambo hakutaka yawe wazi, refer ripoti ya CAG yule mzee wa kiislamu, ndugu Asad aliposimamia kuwa kuna hela haionekani wala haieleweki imetumika vipi, mwisho wa siku akaondolewa katika dhamana.

Cha kile kina magenge na wote ni wale wale kwa maana ya kuwa na tamaa ya kujilimbikizia na watu wao. Wasikuchezeshe akili. Kwanza mpaka ufike pale juu lazima uwe na mitope ya oil mpaka unaogopa hata kuwazingua wenzako sababu na wewe umo... humo humo
 
Tungekuwa na Jeshi imara ambalo linaongozwa na majenerali wazalendo, naamini kabisa kwa haya yalisomwe na Pole pole kwanzia kwenye makaa ya mawe mpaka hilo la kumuua Raisi, sasa hivi Samia na mafisadi wenzie wangekuwa mafichoni, huku taharuki ikitanda kila mahali.

Watu pekee wanaoweza kudeal na hao wana mtandao ni JWTZ basi.

Ila kwa vile jeshi letu lenyewe tayari limeshawekwa mfukoni na mafisadi watu wanapata vyeo kutokana na ukaribu walionao na hao wanamtandao... basi tutegemee kuona hao wana mtandao wakiendelea kutamba hata kwa miaka 30 ijayo na kila raisi anayeingia madarakani atakuwa chini yao.
Kwahiyo wakamatwe tu bila ushahidi kisa Kuna njiti flani aliyebemendwa anaropoka?!!!
 
Kwanini hakuwawajibisha? Na shutuma hizo zipo siku nyingi. Na yeye pia alikuwa secretive na kuna mambo hakutaka yawe wazi, refer ripoti ya CAG yule mzee wa kiislamu, ndugu Asad aliposimamia kuwa kuna hela haionekani wala haieleweki imetumika vipi, mwisho wa siku akaondolewa katika dhamana.

Cha kile kina magenge na wote ni wale wale kwa maana ya kuwa na tamaa ya kujilimbikizia na watu wao. Wasikuchezeshe akili. Kwanza mpaka ufike pale juu lazima uwe na mitope ya oil mpaka unaogopa hata kuwazingua wenzako sababu na wewe umo... humo humo
Chadema wapumbavu sana tatizo, wao ni kuushadadia Kila aina ya upuuzi Ili muradi tu uwe unaelekeawa kwa wasiowapebda.......Samia, jk na Sasa rostam.
 
Kwa magufuli hawa wote wangetiwa jambajamba na kuswekwa ndani. Magufuli hakucheka na kima yeyote shambani
wewe ni mpumbavu mno hakuna nchi inawekamata watu kwa kutajwa tu bila kupeleka ushahidi usio na shaka na mlalamikaji
 
Chadema na walinda legacy wamchukiao Samia wanatolewa akili na ukubwa wa chuki walizonazo vifuani mwao......wanakurupuka tu, inachekesha.
 
mapumbavu sana haya majitu.imekalia uzushi tu jpm mwenye aliomba rostam arudishe biashara zake tz baada ya kuamua kuhamisha mitaji na uwekezaji wake nje ya nchi
 
Yanajitoa ufahamu, eti polepole ndo shujaa na mzalendo wao Sasa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kikwete ni criminal, amefanya mambo mengi ya ajabu ajabu sana tena waziwazi kwenye nchi hii. We fikiria, UAE kuna safari park kabisa na wale wanyama Kikwete kauza hakuna mtu wa kumuuliza.
Mimi ningekuwa new president leo hii wale waliohusika na ubadhirifu wangefikishwa mahakamani.
 
Back
Top Bottom