Mungu aone namna itakavyompendeza ili tuweze kuvuka hapa , aisee kama Taifa kila mmoja kwa nafasi yake anaona kabisa kuwa nikama Taifa limeota manyonyo ,ile heshima iliyowahi kuwapo kwenye mihimiri yetu kwa sasa imebagazwa nakubakwiliwa mbaliKiwango cha ulofa,ujinga ,upuuzi ni mkubwa sana hapa uozo wa tz unaonekana dhahiri shairi
Hata tu kuhojiwa nalo liwe nitatizo? anyway....vipi kuhusu Rostam na wengineo waliyohusishwa na sakata la kuing'ofoa roho ya Rais wa Jamuhuri?Kikwete kumkamata inawezekana..si anacheza gofu..basi hapo ndio anaweza kuguswa/ kukamatwa..not otherwise
Nyuma ya kameraKwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.
Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la kuweka msisitizo .
Hadi leo sijaona wala kusikia yeyote aliyetajwa au kuhusishwa na tuhuma husika akikamatwa ,kuitwa au hata kuhojiwa kwa njia yoyote ile.
Najiuliza hivi yawezekana Kikwete Wenda nikwasababu anawezekana ya kutokushitakiwa ,lakini vipi kwa Rostam nae anaweza kuwa na kinga pia?
Hivi hilo sinikosa la UHAINI tena ule wenyewe wenyewe kabisa ? Sasa inakuwaje mbona sioni police wakiwashika au hata kupokea witu kutoka mahakamani , wanawaogopa? Vipi na Rais wa TLS nae hana mamlaka ya kufile case hao watu wakaitwa na kuhojiwa?
Nini kipo nyuma ya hii saga?
Wadhamini wa 'royal tour' nawapigia saluteHata tu kuhojiwa nalo liwe nitatizo? anyway....vipi kuhusu Rostam na wengineo waliyohusishwa na sakata la kuing'ofoa roho ya Rais wa Jamuhuri?
hakuna mtu ambaye zaidi ya kisiki cha mpingo kisicho weza kuwa eliminatedKikwete kumkamata inawezekana..si anacheza gofu..basi hapo ndio anaweza kuguswa/ kukamatwa..not otherwise
Rais wa TLS hana ushaidi Pole pole kataja wapi ushahidi ulipoKwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.
Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la kuweka msisitizo .
Hadi leo sijaona wala kusikia yeyote aliyetajwa au kuhusishwa na tuhuma husika akikamatwa ,kuitwa au hata kuhojiwa kwa njia yoyote ile.
Najiuliza hivi yawezekana Kikwete Wenda nikwasababu anawezekana ya kutokushitakiwa ,lakini vipi kwa Rostam nae anaweza kuwa na kinga pia?
Hivi hilo sinikosa la UHAINI tena ule wenyewe wenyewe kabisa ? Sasa inakuwaje mbona sioni police wakiwashika au hata kupokea witu kutoka mahakamani , wanawaogopa? Vipi na Rais wa TLS nae hana mamlaka ya kufile case hao watu wakaitwa na kuhojiwa?
Nini kipo nyuma ya hii saga?
Umeambiwa zimeshatekwa na wanamtandao jaribu kuwa mwelewa jamaniiiiNa mamlaka zilizopewa jukumu la kuzisimamia sheria
Ila wakati Magufuli anasema tutamkumbuka tena kwa mema sikuwa miongoni mwa watu waliyobahatika kumuelewa kwa wakati .Kwa magufuli hawa wote wangetiwa jambajamba na kuswekwa ndani. Magufuli hakucheka na kima yeyote shambani