Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Pia mwana mtandao mwandamizi hupiga simu mahakamani, simu moja tu humletea matokeo chanyaIla yule mwamba anaconfidence yakiwango cha juu sana , yule mwamba kwenye ile nafasi ametoshea kikwelikweli hadi amefanya mtoto wangu atamani kuwa mwanasheria.
He was gift to this poor country.Ila wakati Magufuli anasema tutamkumbuka tena kwa mema sikuwa miongoni mwa watu waliyobahatika kumuelewa kwa wakati .
Jamaa alikuwa amenyooka sana ,eneo pekee lililofanya nimchukie ni pale alipopigwa risasi Lissu ila kwingine kote jamaa alikuwa ni mashine tena lamsituni , jamaa alikuwa haogopi kitu aisee
Mamlaka hizo ziko chini ya mamlakaNa mamlaka zilizopewa jukumu la kuzisimamia sheria
Hawana ushahidi wa wazi wa kuwatia hatiani zaidi ya hear say na hisia za watu!!Kwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.
Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la kuweka msisitizo .
Hadi leo sijaona wala kusikia yeyote aliyetajwa au kuhusishwa na tuhuma husika akikamatwa ,kuitwa au hata kuhojiwa kwa njia yoyote ile.
Najiuliza hivi yawezekana Kikwete Wenda nikwasababu anawezekana ya kutokushitakiwa ,lakini vipi kwa Rostam nae anaweza kuwa na kinga pia?
Hivi hilo sinikosa la UHAINI tena ule wenyewe wenyewe kabisa ? Sasa inakuwaje mbona sioni police wakiwashika au hata kupokea witu kutoka mahakamani , wanawaogopa? Vipi na Rais wa TLS nae hana mamlaka ya kufile case hao watu wakaitwa na kuhojiwa?
Nini kipo nyuma ya hii saga?
Hivi mtu akikurupuka tu kutaja huyu kaua yuke,huyu kauwa yule qnakamatwa? huo ndio utawala wa sheri mbona yeye polepole hajakamatwa kwa tuhuma za kutaka kumuua tundu lissu?Kwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.
Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la kuweka msisitizo .
Hadi leo sijaona wala kusikia yeyote aliyetajwa au kuhusishwa na tuhuma husika akikamatwa ,kuitwa au hata kuhojiwa kwa njia yoyote ile.
Najiuliza hivi yawezekana Kikwete Wenda nikwasababu anawezekana ya kutokushitakiwa ,lakini vipi kwa Rostam nae anaweza kuwa na kinga pia?
Hivi hilo sinikosa la UHAINI tena ule wenyewe wenyewe kabisa ? Sasa inakuwaje mbona sioni police wakiwashika au hata kupokea witu kutoka mahakamani , wanawaogopa? Vipi na Rais wa TLS nae hana mamlaka ya kufile case hao watu wakaitwa na kuhojiwa?
Nini kipo nyuma ya hii saga?
Bila maelekezo toka juu hizo mamlaka ni kibogoyo.Na mamlaka zilizopewa jukumu la kuzisimamia sheria
πππππKwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.
Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la kuweka msisitizo .
Hadi leo sijaona wala kusikia yeyote aliyetajwa au kuhusishwa na tuhuma husika akikamatwa ,kuitwa au hata kuhojiwa kwa njia yoyote ile.
Najiuliza hivi yawezekana Kikwete Wenda nikwasababu anawezekana ya kutokushitakiwa ,lakini vipi kwa Rostam nae anaweza kuwa na kinga pia?
Hivi hilo sinikosa la UHAINI tena ule wenyewe wenyewe kabisa ? Sasa inakuwaje mbona sioni police wakiwashika au hata kupokea witu kutoka mahakamani , wanawaogopa? Vipi na Rais wa TLS nae hana mamlaka ya kufile case hao watu wakaitwa na kuhojiwa?
Nini kipo nyuma ya hii saga?
Ni sawa na unajitekenya ukitegemea utachekaHao uliowataja hapo hata wakitaka wanaweza kukukamata, wakakufunga kamba, wakakuchinja hadharani pale kwa Mkapa kama kuku na mtu asiwafanye chochote.
Unazungumzia kukamatwa, tena kwa habari ambazo bado zinahitaji uthibitisho?
Muda utatupa majibuKwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.
Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la kuweka msisitizo .
Hadi leo sijaona wala kusikia yeyote aliyetajwa au kuhusishwa na tuhuma husika akikamatwa ,kuitwa au hata kuhojiwa kwa njia yoyote ile.
Najiuliza hivi yawezekana Kikwete Wenda nikwasababu anawezekana ya kutokushitakiwa ,lakini vipi kwa Rostam nae anaweza kuwa na kinga pia?
Hivi hilo sinikosa la UHAINI tena ule wenyewe wenyewe kabisa ? Sasa inakuwaje mbona sioni police wakiwashika au hata kupokea witu kutoka mahakamani , wanawaogopa? Vipi na Rais wa TLS nae hana mamlaka ya kufile case hao watu wakaitwa na kuhojiwa?
Nini kipo nyuma ya hii saga?
Mi sijasikia popote ilo swala..nimezaliwa na kende mbili..na nitazeeka na kende hizo hizo mbili bila kupungua au kuharibiwaHata tu kuhojiwa nalo liwe nitatizo? anyway....vipi kuhusu Rostam na wengineo waliyohusishwa na sakata la kuing'ofoa roho ya Rais wa Jamuhuri?
Unasema ukiwa ndani ya duvet ziitooo kabisaaahakuna mtu ambaye zaidi ya kisiki cha mpingo kisicho weza kuwa eliminated