Nini kinachofanya Rostam, Kikwete na wana mtandao wengine hadi leo wasikamatwe?

Nilichokuja kugundua hii nchi ni kampuni ya watu na sisi wananchi ndo mtaji wa kutajirisha watu aisee kumbe hii nchi ni kampuni na kodi tunazokamuliwa na kwa ajili ya watu wanaomiliki kampuni Asante sana polepole
 
Wakamatwe kwa kosa lipi ?
 
Wakamatwe Kwa sababu za chuki zako na Polepole au?
 
Polepole atakufa kifo kama cha Ben Saanane, Mdude.
Mark my words.
 
Sio watu wote ni wapumbavu kama huyo PLPL kwamba watatumikia siasa za kizushi Kwa misingi ya njaa na chuki binafsi.
 
Kukamata kutachelewa sana, kama tunapata wa kuwashoot ndo itakuwa swafii Ili nao watangulie wakatoe hesabu zao
 
Hata Magufuli alitajwa kwenye kitabu fulani hivi kwamba alimuua fulani kwa bastola na hakuna hatua iliyochukuliwa
 
Yaani wakamatwe kwa sababu tu za chuki za nyumbu wa lissu na fitina za yule kigagula mdumavu aliyebemendwa?!!!! Utakuwa hujielewi wewe. Watu wanakamatwa kwa ushahidi ulionyooka na si kwa maneno ya wivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…