Nini kinachokwamisha utekelezaji wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi jiji la Arusha?

Nini kinachokwamisha utekelezaji wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi jiji la Arusha?

Kote huko hakuna mipango miji hakuna cha Arusha wala Mbeya binti yangu Saint Anne

Mbeya kidoogo kuna mitaa hata pembeni kidogo ya mji mf. kwa mama John, kule Veta jirani na mkuu wa majeshi mstaafu mitaa inaeleweka nani pembeni ya jiji.

Njoo arusha sasa, mfano ukitoka city center kidogo tu ukaingia mitaa ya ndani as mianzini ni bado mjini ila hakuna barabara za mitaa, maeneo mengi ni maboma watu wanagawana na kuacha vijinjia, single way.

Kidooogo njiro ndipo wakala wa kuboresha mji aliwahi kupanga, huyo kidogo anaonekana alikuwa muadilifu.

Issue ya uchoyo na ujambazi ahahahaa hapo nakaa kimya aseee!.
Mbeya mpangilio hakuna kabisa
Hadi inafika kipindi mtu anajenga mbele ya nyumba yako, hata njia ya kupita hakuna.. wameblock vinjia vyoote..
Halafu sasa, tofali zinazotumika ni zile ambazo hazijachomwa.

Mbeya klichowazidi Arusha ni ukarimu.
Arusha walichoizidi Mbeya ni uchoyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaani wewe ni kama mtoto, akimkuta mwenzake njiani kaweka kitu mdomoni anamuangalia kisha anamuomba ili naye apewe hajui km mwenzake anakula au anafanya nini mdomoni!.

Kabla hujareply angalia hiyo reply imeanzia wapi na inajitegemea au inamjibu mtu!.

Then weka yakwako, ukikurupuka unakuwa sawa na kale katoto nilikokaeleza hapo juu!.
Profile yako inaonyesha una mapengo
 
Sijui una maana gani ndg mwananchi wa arusha?.
Stendi ujenge Kisongo au Olasiti mtu wa Ngulelo arudi nyuma km 40 kutafuta usafori wa kwenda mbele kama Dar es Salam ni ujinga wa kiwango cha juu
Stand ingekuwa mahali Kama Mianzini wafanya Biashara na wasafirishaji wangejenga wenyewe
 
Mkuu stand kujengwa kule ni kwakuwa bypass road imepita huko na lengo lake ni kuondoa msongamano wa magari katikati ya mji...

Hivi mianzini kuna eneo la kujenga stand?
 
Stendi ujenge Kisongo au Olasiti mtu wa Ngulelo arudi nyuma km 40 kutafuta usafori wa kwenda mbele kama Dar es Salam ni ujinga wa kiwango cha juu
Stand ingekuwa mahali Kama Mianzini wafanya Biashara na wasafirishaji wangejenga wenyewe
Mkuu wewe ni mwenyeji wa wapi?
 
Mkuu kama unajua account anayotumia Gambo humu hebu mtag na yeye, sababu anajua hii scandal ilivyo.
Mkuu hii issue ya Ujenzi kusua sua na Gambo anahusika...

Ni hivi Walitaka stand ijengwe Olasiti.. Gambo akiwa RC na baadhi ya watumishi wakanunua viwanja na maeneo ya watu kwa nguvu huku wakijua stand itajengwa Olasiti.
Lengo la kununua huko ilikuwa kwa ajili ya fidia...
Mfano kuna mtu ofisini kwenye halmashauri ya jiji alinunua nyumba million 45 makusudi ili mradi ukianza adai fidia ya milion 150.
Gambo ana viwanja Olasiti... Sasa stand inakwenda Bondeni City hapo ndipo shida ipo.

Viongozi/ Madiwani walionunua viwanja na nyumba Olasiti wamepaniki... Bondeni City Halmashauri wamepewa eneo bure.. Hakuna fidia.... Hizi danadana zina mnyororo huko ndani ya Halmashauri kuanzia watendani mpaka ex RC (Gambo) japo anajidai hajui kinachoendelea...

Stand ikitaka kujengwa Takukuru Tena Makao Makuu wawe hapo, watu wa Ardhi.. Ili kuzima maslai ya watu kwanza.. Kisha stand itajengwa
 
... Viongozi/ Madiwani walionunua viwanja na nyumba Olasiti wamepaniki... Bondeni City Halmashauri wamepewa eneo bure.. Hakuna fidia.... Hizi danadana zina mnyororo huko ndani ya Halmashauri kuanzia watendani mpaka ex RC (Gambo) japo anajidai hajui kinachoendelea ...
Na ndiyo maana namtaja kila wakati nafahamu huyu kijana Gambo anaelewa nje ndani ili suala na bahati mbaya yule mzee jeshi la mtu mmoja aliondoka hakulijua hili, vinginevyo stendi ingejengwa kule Laroi lilipo jiji la bondeni.

Naweza kuwa nafahamu au sifahamu fitina zote ila, nasema ila kama serikali ikiamua stendi itajengwa tu but siyo huko Olasiti ambako bado ni mjini na katikati ya makazi, stendi inatakiwa kuwa na eneo pana huku nyumba za kuishi ziwe pembezoni sana.

Ndg mbunge Gambo changamka ulisemee hili bungeni na serikali ianze ujenzi ili upate point ya kuombea kura, vinginevyo ubunge unaenda kuusahau, shauri lako!.
 
Mkuu kuhusu ubunge.. Watu wanamshauri abadili jimbo...
Kwa hapo mjini anayokazi balaa...
 
Mkuu kuhusu ubunge.. Watu wanamshauri abadili jimbo...
Kwa hapo mjini anayokazi balaa...
Akumbushwe pia ubunge ujao ni kwa wapambanaji tu wala si watakaopewa au kusukumwa ndani.

Ndiyo maana nampa tips acheze na hili la stendi kidogo anaweza kuonekana mtu.
 
Nimepita juzi naona kazi nzuri sana, kweli serikali imeamua kuwekeza asee!.
kiukweli kabisa Tanzania kama taifa pamoja na changamoto zote tulizonazo lakini tuanasogea mdogomdogo.kuna wanaosema tumechelewa lakini kikubwa atuja stuck tunasogea mdogomdogo.
 
wa kwanza huyu hapa kajitambulisha mwenyewe kupenda mtelezo

Kama hujui kutafuta pesa usikanyage arusha
Na arusha maisha yapo juu Sana mbeya bado Sana kuikuta arusha hata biashara za arusha na mbeya zina tofauti kubwa Sana kwa nzia kwenye fremu za biashara mpaka kwenye nyumba za kupanga arusha ukijenga nyumba Ina samani kubwa kuliko kujenga mbeya kwanza mbeya maisha yapo chini kwenye chakula mpaka fremu za biashara

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Bado na Jiji letu la Bukoba stand Bado ,kile ki stendi Cha pale mjini n hovyo kabsa.
Wahusika wajitahidi haraka Kabla mwaka ujaisha tuwe na standa kama ya Magufuli Terminal.
 
Mimi nimetoka arusha 2015 na japokuwa nilikuwa nasoma chuo lakini mda niliokaa na Mambo na maisha niliyoyaona arusha iko juu sana kimaisha na ile stendi Kama bado ipo ni shida pale ni padogo na magari no mengi Sana hasa asubui mabus yakiaanza kutoka pale sio stendi jiji Kama arusha ile no stendi ya kijijini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom