Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mbeya mpangilio hakuna kabisaKote huko hakuna mipango miji hakuna cha Arusha wala Mbeya binti yangu Saint Anne
Mbeya kidoogo kuna mitaa hata pembeni kidogo ya mji mf. kwa mama John, kule Veta jirani na mkuu wa majeshi mstaafu mitaa inaeleweka nani pembeni ya jiji.
Njoo arusha sasa, mfano ukitoka city center kidogo tu ukaingia mitaa ya ndani as mianzini ni bado mjini ila hakuna barabara za mitaa, maeneo mengi ni maboma watu wanagawana na kuacha vijinjia, single way.
Kidooogo njiro ndipo wakala wa kuboresha mji aliwahi kupanga, huyo kidogo anaonekana alikuwa muadilifu.
Issue ya uchoyo na ujambazi ahahahaa hapo nakaa kimya aseee!.
Hadi inafika kipindi mtu anajenga mbele ya nyumba yako, hata njia ya kupita hakuna.. wameblock vinjia vyoote..
Halafu sasa, tofali zinazotumika ni zile ambazo hazijachomwa.
Mbeya klichowazidi Arusha ni ukarimu.
Arusha walichoizidi Mbeya ni uchoyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣