Nini kinachotuongoza? Sheria na Katiba au hila na fadhila za Rais?

Nini kinachotuongoza? Sheria na Katiba au hila na fadhila za Rais?

Wewe endelea kubeba mabox huko utumwani, mambo ya huku hayakuhusu......
 
Tatizo hii katiba inampa nguvu mno Rais hata kuivunja yenyewe na asiwajibishwe
 
Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani.

Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa?..
[emoji817][emoji3581]
 
Watu wote wenye Nia njema
Vyama vya siasa Tanzania vimekuwa sehemu ya fursa na Ajira.

Ndio maana hata wanasiasa wake ni matajiri.

Wakati kina Nyerere wanapambania uhuru, nia yako ilikuwa ni moja na walihakikisha wanashawishi makundi yote ya kijamii yanawaunga mkono.

Lakini sasa hivi, Chadema wao ni wabinafsi kupindukia kwanza wanaamini wao tu ndio wapinzani, wapambanaji, ndio wapigania haki, wengine wote wasaliti. Makundi yote kama,
  • Wananchi wa kawaida
  • Wasanii
  • Vyama vya wafanyakazi
  • Wasomi
  • Wanafunzi
  • Jumuiya za kimataifa
  • Dini zote
  • NGOs
  • Media
Na haya makundi yote mpaka leo CCM bado imeyakumbatia.

Sasa Chadema wao, Hawataki kushirikiana na yeyote, kama unataka ushirikiano ni wewe ndio unapaswa kuwaunga mkono mambo yao. Huu ni utapeli na upumbavu.

Mbowe yeye anachoangalia ni fursa za kiuchumi tu.
 
Chadema wameanza na wengine watafuata! Shida Iko wapi?!
Shida ni kwamba, suala la katiba litaonekana ni hitaji la Chadema kwaajili ya manufaa ya Chadema.

Hivyo watu wengine watakaa pembeni.
 
Shida ni kwamba, suala la katiba litaonekana ni hitaji la Chadema kwaajili ya manufaa ya Chadema.

Hivyo watu wengine watakaa pembeni.
Kwa hiyo unataka Chadema wakae kimya waache kuhamasisha kuhusu katiba mpya kisa wengine watakaa pembeni
 
Vyama vya siasa Tanzania vimekuwa sehemu ya fursa na Ajira.

Ndio maana hata wanasiasa wake ni matajiri...
Hujamsikia juzi Mbowe akisema anawaalika watu wote ikiwema taasisi za dini, ngos na wadau wote kuungana kuhusu katiba mpya? Acha hizo ww
 
Kwa hiyo unataka Chadema wakae kimya waache kuhamasisha kuhusu katiba mpya kisa wengine watakaa pembeni
Right approach ya kwanza ilitakiwa kuwa kutafuta uungwaji mkono kwenye makundi yote muhimu.

Sasa wao Chadema wanaamini wanaweza kupata katiba mpya kwa kushinikiza wakati hawajawahi kushinikiza chochote kikafanikiwa.

Mwisho wa siku watabaki kutukana tu viongozi wa dini, wazee, wanawake, kwamba Samia kakutana nao ili awaambie wapuuzie mambo ya katiba.
 
Huu uzi ni vita ya wenyewe kwa wenyewe!
Polepole kwani anasemaje??
Johnthebaptist tumemsikia.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Do you agree with our current Constitution or there is need of having new Constitution as to to ensure Transparent, and to get rid unfairness. Drop your view 👇
 
Back
Top Bottom