Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
Ndio maana ninaamini wewe ni mzee mpumbav.Wale wanaolipwa kule Canada kila mwaka wa serikali ukianza wao ni wachumia tumbo?
Acheni upuuzi nyie system ya utawala ya kibongo haiwezi badilika bila kuleta utata tena utata kweli kweli hizi ngonjera mnazoleta hapa za kujidai mnadai katiba kwenye thread za JF haitawasaidia kenge maji watupu! Oh haki haiombwi blah blah andamaneni mdai kinguvu haki yenu kwa jasho na damu!
Hamna mtawala ambaye atakubali ku jeopardize madaraka yake eti kwa sababu kuna mpinzani analeta kelele! Madaraka hayapatikani kirahisi watu wamevunja nazi sana wametumia hela hao kina Mbowe wanafikiri watapewa nchi kirahisi?
Hatutaishi maisha ya hofu za kipumbav na vitisho.
Hayo mawazo yako wapelekee familia yako,
Lazima tuione Tanzania yenye katiba bora, uongozi na siasa safi.
Tanzania inayojali wasomi kwa kuwapa ajira, wakulima wapate zana na pembejeo bora, wafanyakazi welfare na sio Tanzania inayowajali viongozi kwanza.
Mawazo yako ya kipumbav peleka huko kwako yawatie ujinga.
Pumbav
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app