Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Taifa limefikia hatua mbaya kama hii halafu mtu anaibuka kutetea ujinga!👇Khaaaaah sitaki kuamini hii comment umeandika wee, mweeeeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taifa limefikia hatua mbaya kama hii halafu mtu anaibuka kutetea ujinga!👇Khaaaaah sitaki kuamini hii comment umeandika wee, mweeeeh
Nimezisoma ila pamoja na yote wewe mwenye faida andamana bro! Tusiendelee kuwa watu wa kulalamika na kupingana wenyewe kwa wenyewe, rational decision kwa hali ilipofikia si mumeona fujo ndio suluhu...? Kama jibu ni ndio nahitaji kukuona uko barabarani na sio kuendelea kulalamika nyuma ya keyboard watu wenye uchungu na katiba mpya kama wewe na mnaoitaka kwa heri ama kwa shari kama asemavyo mbeligiji wenu Lissu basi atue bongo na wewe utoe mkeo na wanao katika tarehe atakayowapa mkadai kwa nguvu katiba! Nadhani tutakuwa tumeelewana bro!Hukusoma hata facts kumi nilizoorodhesha hapo juu zinazothibitisha kuwa huna faida katika Taifa hili?
Katiba bora itakapoundwa hakuna mtu hatanufaika, hata wewe na familia yako mtanufaika simama kama mwanaume/mwanamke tetea katiba mpya kwa manufaa ya kizazi chako.Mkuu usisahau tarehe atakayowapa mwenyekiti mtoke na familia zenu tushachoka haya mabishano ya kwenye keyboard za simu! Nataka niwaone mkiwa mtaani na familia zenu maana nyie ni wanananchi na katiba ni yenu na mna haki ya kuidai sio kuiomba! Tutakuja kuwaunga mkono baada ya kuona matokeo.
Matatizo ni hiki ulichofanya hapa! Hili ndio tatizo kuu na muarubaini wake ni wewe kuungana na wananchi wengine wenye uchungu na katiba mpya ili muweze kuandamana kuelekea magogoni kwa mama Samia maana haki haiombwi inadaiwa kinguvu bila kujali lolote!Ila hii nchi in a matatizo sana tena mno, jambo/mambo ya msingi na maana, yanajadiliwa kimasikhara na kubezwa, duuuuh.
JAH awe nasi kwa kweli lol.
Unawezaje kutetea ujinga kama huu mtu ambae una akili timamu?Uvunjaji wa wazi kabisa wa katiba!How possible on earth?!Nimezisoma ila pamoja na yote wewe mwenye faida andamana bro! Tusiendelee kuwa watu wa kulalamika na kupingana wenyewe kwa wenyewe, rational decision kwa hali ilipofikia si mumeona fujo ndio suluhu...? Kama jibu ni ndio nahitaji kukuona uko barabarani na sio kuendelea kulalamika nyuma ya keyboard watu wenye uchungu na katiba mpya kama wewe na mnaoitaka kwa heri ama kwa shari kama asemavyo mbeligiji wenu Lissu basi atue bongo na wewe utoe mkeo na wanao katika tarehe atakayowapa mkadai kwa nguvu katiba! Nadhani tutakuwa tumeelewana bro!
Katika Taifa mashujaa huwa ni wachache na ndio maana kuna majina ambayo yako common unayasikiaga deile katika historia ya taifa wala sio kikundi cha watu!Katiba bora itakapoundwa hakuna mtu hatanufaika, hata wewe na familia yako mtanufaika simama kama mwanaume/mwanamke tetea katiba mpya kwa manufaa ya kizazi chako.
Ondoka zama za ujinga. Katiba bora itatupa sera nzuri zitakazolinda rasilimali zetu, kutengeneza ajira, matumizi mazuri ya rasilimali kwa manufaa ya wote, uchumi kukua na kuimarisha maisha ya watanzania.
Katiba mpya ni sasa acha uoga hata kwenye kupaza sauti na kutoa hoja safi.
Uoga wa watanzania ni wa ujinga na hiyo siyo dambi, dhambi ni wale wenye uoga wa kipumbav jitafakari uko wapi?
Maana hofu ya mjinga ni kwa kuwa hana elimu ila hofu ya mpumbav ni uendawazimu maana elimu anayo ila ana hofu ya tumbo.
Hakuna watu wenye hofu ya tumbo waliowahi kuleta maendeleo wala mabadiliko.
Mwaka fulani Nyerere aliambiwa achague ualimu (tumbo) ama ukombozi (kupigania uhuru)
kama ungelikuwa wewe huenda ungelichagua tumbo.
Pumbav!
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mlisema mama anaupiga mwingi sana kwahio tulieni 😂😂😂Unawezaje kutetea ujinga kama huu mtu ambae una akili timamu?How possible on earth?!
View attachment 1839879
Braza mie siwezi kuhangaika na hilo maana mpaka sasa hio katiba yenu iliyopo hainilishi wala kuniwekea hela benki ila ni kupitia mapambano yangu binafsi ndio napata kula!Katiba bora itakapoundwa hakuna mtu hatanufaika, hata wewe na familia yako mtanufaika simama kama mwanaume/mwanamke tetea katiba mpya kwa manufaa ya kizazi chako.
Ondoka zama za ujinga. Katiba bora itatupa sera nzuri zitakazolinda rasilimali zetu, kutengeneza ajira, matumizi mazuri ya rasilimali kwa manufaa ya wote, uchumi kukua na kuimarisha maisha ya watanzania.
Katiba mpya ni sasa acha uoga hata kwenye kupaza sauti na kutoa hoja safi.
Uoga wa watanzania ni wa ujinga na hiyo siyo dambi, dhambi ni wale wenye uoga wa kipumbav jitafakari uko wapi?
Maana hofu ya mjinga ni kwa kuwa hana elimu ila hofu ya mpumbav ni uendawazimu maana elimu anayo ila ana hofu ya tumbo.
Hakuna watu wenye hofu ya tumbo waliowahi kuleta maendeleo wala mabadiliko.
Mwaka fulani Nyerere aliambiwa achague ualimu (tumbo) ama ukombozi (kupigania uhuru)
kama ungelikuwa wewe huenda ungelichagua tumbo.
Pumbav!
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mkuu nimekuwa nikisoma sana misimamo yako kuhusu mambo mbalimbali hapa JF. Mengi nakubalina na wewe lakini hili la siasa za serikali vs upinzani nasema huwa unakosea sana. Wewe bado uko kwenye zile karne za watawala kupaswa kuonekana kama mungu-watu, wanaopaswa kubembelezwa, kunyenyekewa ili watoe haki na usipofanya hivyo wana haki ya kukufanya chochote! Hii ni misimamo potofu kabisa na haina nafasi kwenye dunia ya leo. Nadhani watanzania wengi hatujapata elimu sahihi (tulisoma kwa kukariri) na mbaya zaidi hatuna exposure ya kutosha iwe kwa kutembea au hata virtual exposure inayoweza kupatikana kwa kusoma vitabu. Hili linatufanya tuone serikali ni dude linalotakiwa kuheshimiwa sana na ukileta fyoko ni haki ufyekelewe mbali. Kitu ambacho wengi hawajui ni kuwa hizi nafasi za kisiasa ni utumishi kwa umma, na kiongozi ndiye anayetakiwa kunyenyekea wananchi na siyo kinyume. Hata ukiwa rais, unakuwa rais wa wananchi wote. Wapo vichaa, wapo wenye lugha kali, wapo waoga, wapo wajinga, wapo watu wa tabia na haiba tofauti tofauti. Kama unahisi mwananchi amekosea, sheria na mahakama zipo, zitowe haki na siyo kutishana.Sawa haki sio hisani naelewa ila kuna namna ya kuidai hio haki! Angalia nani anapaswa akupatie hio haki? Personality traits zake zikoje? Kuna watu wanataka kuwa pleased ili upate unachotaka na ambao ndio wengi kuliko wale ambao wanajua kukupatia haki ni wajibu wao so hutenda bila kuombwa!
Shida ya hawa ndugu zetu wao wanataka haki kwa kupush kauli za kibabe! Ukikutana na mtu mwenye roho ngumu anakufyekelea mbali and the rest is history! Tuwe na adabu kidogo...tunadai haki ila tuwe na adabu kidogo huwezi kuvunja vipengele vya katiba kwa makusudi hii ni nchi yenye utawala wa sheria sio kijiwe cha kahawa kwamba lugha za chooni ni ruksa kwa yeyote yule!
Ombeni kibali fateni taratibu mkinyimwa lalamikeni na mtoe hoja zenu mama personality yake ni rahisi kusikiliza watu. She is not a harsh person kama mtangulizi wake so mambo yanaweza kwenda smooth watu wakitumia akili vizuri. Wakitaka ubabe vijana wenye kazi ya kuwatuliza wapo!
Ningependa hao wanaojitia wana uchungu sana na katiba wapeleke matumbo yao mbele na familia zao kisha wakifanikiwa kwenye hio vurugu watanzania wengine watafuata!
Mie nimesema ntashiriki mchakato wa hio katiba mpya kama kutakuwa na kipengele cha wananchi kupewa hela ya maendeleo 5M cash kwenye account zao kila mwanzo wa mwaka mpya wa serikali. Kama hilo litakuwepo ntawaunga mkono ila kama ni lile la kuwaingiza akina Mbowe Ikulu tu basi sihusiki na shughuli hio!
Hapo ndio ujue Chadema mko peke yenu.Unawezaje kutetea ujinga kama huu mtu ambae una akili timamu?How possible on earth?!
View attachment 1839879
Kwa hiyo unachekea uvunjaji wa wazi kabisa wa katiba?Nikikuita kuwa wewe ni mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?!Mlisema mama anaupiga mwingi sana kwahio tulieni 😂😂😂
Mwanzilishi wa haya yote ni yule kipenzi cha moyo wako, mzalendo kweli kweli, mtetezi wa wanyonge. Hao wengine wanaendeleza legacy tuWanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani.
Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa?
Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili ukiichambua kwa undani utabaini haina mantiki kabisa.
Ah! Hayo ya misemo ya Kiswahili tuyaache kwa leo maana nina ujinga wa mambo kadha wa kadha na ningependa niufute.
Haya twende kazi:
Hivi, hili suala la katiba mpya ni suala la fadhila ya Rais aliyepo madarakani au?
Nauliza hivyo kwa sababu tokea hili vuguvugu lianze tena baada ya kifo cha Rais Magufuli, kumekuwepo na maombi kwa Rais Samia kuwa aurejeshe tena mchakato wa katiba mpya.
Mara kadhaa sasa yeye Rais Samia keshasema suala hilo lisubiri [kidogo/ kwanza] maana anataka aisimamishe kwanza nchi kiuchumi.
Ni kama sielewi elewi vile inakuwaje suala muhimu kama hilo kuhusu mustabali wa taifa liwe ni suala la hisani ya mtu mmoja ilhali taifa linakadiriwa kuwa idadi ya watu takriban milioni 60.
Jingine ambalo silielewi elewi ni hili suala la huyu jamaa wa CHADEMA aitwaye Mdude Nyagali.
Hivi hilo ‘Mdude’ ni jina lake kweli? [emoji848]
Baada ya kutoa kauli yake ya hivi karibuni kwamba kimsingi ataendelea kuanzia palepale alipoishia kabla ya kwenda jela kipindi Rais Magufuli akiwa hai, kumekuwepo na maneno maneno ya kwamba auchunge mdomo wake kuhusu anayoyasema dhidi ya Rais Samia kwa sababu yeye Mama Samia ndo kamtoa huko jela alikokuwa.
Ina maana Tanzania mtu kuwa jela au kuwa huru kunaweza kutegemea hila ama fadhila za Rais aliyepo madarakani na si sheria za nchi?
Madai ni kwamba Mdude alibambikiwa kesi na utawala wa Magufuli. Lakini utawala wa Samia umeamua kumwachia huru [emoji2357].
Rais Magufuli alipiga marufuku wanasiasa kufanya shughuli za kisiasa nchini. Akasema eti wanaruhusiwa tu kufanya shughuli hizo kwenye majimbo yao.
Ajabu kweli kweli maana Tanzania ni nchi iliyo huru na nijuavyo Mtanzania yeyote yule ana haki ya kufanya kazi sehemu yoyote iliyo nchini mwake.
Kaja Rais Samia naye anaendelea na uamuzi huo huo wa kupiga marufuku shughuli za kisiasa kwa wanasiasa nje ya majimbo yao isipokuwa kwa CCM tu.
Ni wazi kabisa kuwa hii amri ni ukiukwaji wa katiba maana shughuli za kisiasa ni haki kwa mujibu wa katiba.
Sielewi kwa nini wanasiasa wa upinzani hawaikaidi hiyo amri maana sheria ipo upande wao.
Kwani kwa mfano wakiamua kuzifanya hizo shughuli za kisiasa nchi nzima, nini kitawatokea?
Watakamatwa na polisi na kufungwa jela? Watashitakiwa na serikali kwa kosa/ makosa gani?
Watafikishwa mahakamani na kushitakiwa kutenda kosa/ makosa gani?
Kama wanachokifanya ni haki yao kikatiba, ni mahakama gani itayowapata na hatia ya kuitumia haki yao ya kikatiba?
Hii nchi bana…imejaa watu wa ajabu kweli!
CCM JAZA TUMBO' na CCM limbukeni wanatuharibia sana nchi.Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani.
Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa?
Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili ukiichambua kwa undani utabaini haina mantiki kabisa.
Ah! Hayo ya misemo ya Kiswahili tuyaache kwa leo maana nina ujinga wa mambo kadha wa kadha na ningependa niufute.
Haya twende kazi:
Hivi, hili suala la katiba mpya ni suala la fadhila ya Rais aliyepo madarakani au?
Nauliza hivyo kwa sababu tokea hili vuguvugu lianze tena baada ya kifo cha Rais Magufuli, kumekuwepo na maombi kwa Rais Samia kuwa aurejeshe tena mchakato wa katiba mpya.
Mara kadhaa sasa yeye Rais Samia keshasema suala hilo lisubiri [kidogo/ kwanza] maana anataka aisimamishe kwanza nchi kiuchumi.
Ni kama sielewi elewi vile inakuwaje suala muhimu kama hilo kuhusu mustabali wa taifa liwe ni suala la hisani ya mtu mmoja ilhali taifa linakadiriwa kuwa idadi ya watu takriban milioni 60.
Jingine ambalo silielewi elewi ni hili suala la huyu jamaa wa CHADEMA aitwaye Mdude Nyagali.
Hivi hilo ‘Mdude’ ni jina lake kweli? 🤔
Baada ya kutoa kauli yake ya hivi karibuni kwamba kimsingi ataendelea kuanzia palepale alipoishia kabla ya kwenda jela kipindi Rais Magufuli akiwa hai, kumekuwepo na maneno maneno ya kwamba auchunge mdomo wake kuhusu anayoyasema dhidi ya Rais Samia kwa sababu yeye Mama Samia ndo kamtoa huko jela alikokuwa.
Ina maana Tanzania mtu kuwa jela au kuwa huru kunaweza kutegemea hila ama fadhila za Rais aliyepo madarakani na si sheria za nchi?
Madai ni kwamba Mdude alibambikiwa kesi na utawala wa Magufuli. Lakini utawala wa Samia umeamua kumwachia huru 🤦♂️.
Rais Magufuli alipiga marufuku wanasiasa kufanya shughuli za kisiasa nchini. Akasema eti wanaruhusiwa tu kufanya shughuli hizo kwenye majimbo yao.
Ajabu kweli kweli maana Tanzania ni nchi iliyo huru na nijuavyo Mtanzania yeyote yule ana haki ya kufanya kazi sehemu yoyote iliyo nchini mwake.
Kaja Rais Samia naye anaendelea na uamuzi huo huo wa kupiga marufuku shughuli za kisiasa kwa wanasiasa nje ya majimbo yao isipokuwa kwa CCM tu.
Ni wazi kabisa kuwa hii amri ni ukiukwaji wa katiba maana shughuli za kisiasa ni haki kwa mujibu wa katiba.
Sielewi kwa nini wanasiasa wa upinzani hawaikaidi hiyo amri maana sheria ipo upande wao.
Kwani kwa mfano wakiamua kuzifanya hizo shughuli za kisiasa nchi nzima, nini kitawatokea?
Watakamatwa na polisi na kufungwa jela? Watashitakiwa na serikali kwa kosa/ makosa gani?
Watafikishwa mahakamani na kushitakiwa kutenda kosa/ makosa gani?
Kama wanachokifanya ni haki yao kikatiba, ni mahakama gani itayowapata na hatia ya kuitumia haki yao ya kikatiba?
Hii nchi bana…imejaa watu wa ajabu kweli!
Mi swezi kataa mkuu una uhuru wa kuongea!Kwa hiyo unachekea uvunjaji wa wazi kabisa wa katiba?Nikikuita kuwa wewe ni mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?!
Uzuri ni kuwa uko dunia ya kwanza mkuu, hata ukichora picha ya bidden yupo chooni anakunya wewe bado utalindwa na kifungu cha “uhuru wa raia kufanya anachojiskia” ila treatment ya hiko kitendo katika dunia ya tatu iko tofauti mno! Hivyo kumsihi huyo mdude ajiheshimu ni kwa faida yake na wanaomtegemea!Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani.
Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa?
Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili ukiichambua kwa undani utabaini haina mantiki kabisa.
Ah! Hayo ya misemo ya Kiswahili tuyaache kwa leo maana nina ujinga wa mambo kadha wa kadha na ningependa niufute.
Haya twende kazi:
Hivi, hili suala la katiba mpya ni suala la fadhila ya Rais aliyepo madarakani au?
Nauliza hivyo kwa sababu tokea hili vuguvugu lianze tena baada ya kifo cha Rais Magufuli, kumekuwepo na maombi kwa Rais Samia kuwa aurejeshe tena mchakato wa katiba mpya.
Mara kadhaa sasa yeye Rais Samia keshasema suala hilo lisubiri [kidogo/ kwanza] maana anataka aisimamishe kwanza nchi kiuchumi.
Ni kama sielewi elewi vile inakuwaje suala muhimu kama hilo kuhusu mustabali wa taifa liwe ni suala la hisani ya mtu mmoja ilhali taifa linakadiriwa kuwa idadi ya watu takriban milioni 60.
Jingine ambalo silielewi elewi ni hili suala la huyu jamaa wa CHADEMA aitwaye Mdude Nyagali.
Hivi hilo ‘Mdude’ ni jina lake kweli? 🤔
Baada ya kutoa kauli yake ya hivi karibuni kwamba kimsingi ataendelea kuanzia palepale alipoishia kabla ya kwenda jela kipindi Rais Magufuli akiwa hai, kumekuwepo na maneno maneno ya kwamba auchunge mdomo wake kuhusu anayoyasema dhidi ya Rais Samia kwa sababu yeye Mama Samia ndo kamtoa huko jela alikokuwa.
Ina maana Tanzania mtu kuwa jela au kuwa huru kunaweza kutegemea hila ama fadhila za Rais aliyepo madarakani na si sheria za nchi?
Madai ni kwamba Mdude alibambikiwa kesi na utawala wa Magufuli. Lakini utawala wa Samia umeamua kumwachia huru 🤦♂️.
Rais Magufuli alipiga marufuku wanasiasa kufanya shughuli za kisiasa nchini. Akasema eti wanaruhusiwa tu kufanya shughuli hizo kwenye majimbo yao.
Ajabu kweli kweli maana Tanzania ni nchi iliyo huru na nijuavyo Mtanzania yeyote yule ana haki ya kufanya kazi sehemu yoyote iliyo nchini mwake.
Kaja Rais Samia naye anaendelea na uamuzi huo huo wa kupiga marufuku shughuli za kisiasa kwa wanasiasa nje ya majimbo yao isipokuwa kwa CCM tu.
Ni wazi kabisa kuwa hii amri ni ukiukwaji wa katiba maana shughuli za kisiasa ni haki kwa mujibu wa katiba.
Sielewi kwa nini wanasiasa wa upinzani hawaikaidi hiyo amri maana sheria ipo upande wao.
Kwani kwa mfano wakiamua kuzifanya hizo shughuli za kisiasa nchi nzima, nini kitawatokea?
Watakamatwa na polisi na kufungwa jela? Watashitakiwa na serikali kwa kosa/ makosa gani?
Watafikishwa mahakamani na kushitakiwa kutenda kosa/ makosa gani?
Kama wanachokifanya ni haki yao kikatiba, ni mahakama gani itayowapata na hatia ya kuitumia haki yao ya kikatiba?
Hii nchi bana…imejaa watu wa ajabu kweli!
Suala la katiba na sheria za nchi siyo suala la Mbowe wala Lissu wala Samia wala CCM wala Chadema.Suala la katiba ya nchi ni suala la wananchi.Ni suala la wananchi kwa sababu linagusa yale masuala ya msingi kabisa ya watu kama vile haki ya kuishi na kadhalika.Unahitaji kuwa na PhD ili kuyajua mambo madogo kama haya?Mi swezi kataa mkuu una uhuru wa kuongea!
Wewe fanya ambalo Mbowe na Lissu watawaagiza.
Wapumbav kama wewe hata enzi za Nyerere na uhuru walikuwepoSasa kwa mantiki hio basi nataka wewe na familia yako tarehe ambayo mtapewa na Aikaeli Mbowe, usiende kazini nunua loudspeaker yako na ya mkeo na muvae maguo yenu ya M4C na watoto pamoja na mabendera yenu muanzie mtaani kwenu mpaka maeneo ya magogoni mkipiga kelele kuwa mnataka katiba mpya!
Huu uchungu usiishie kwenye keyboard ya simu yako tu! Hii nchi sio ya kifalme kama ulivyokiri kwahio toka ndani kwako ingia barabarani na mabango na mkeo na wanao! Haki haiombwi!!!
Fadhila za Mama, ni zao la asiyefuata Katiba, ana Bunge lililoingia kwa kutonanii sheria,Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani.
Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa?
Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili ukiichambua kwa undani utabaini haina mantiki kabisa.
Ah! Hayo ya misemo ya Kiswahili tuyaache kwa leo maana nina ujinga wa mambo kadha wa kadha na ningependa niufute.
Haya twende kazi:
Hivi, hili suala la katiba mpya ni suala la fadhila ya Rais aliyepo madarakani au?
Nauliza hivyo kwa sababu tokea hili vuguvugu lianze tena baada ya kifo cha Rais Magufuli, kumekuwepo na maombi kwa Rais Samia kuwa aurejeshe tena mchakato wa katiba mpya.
Mara kadhaa sasa yeye Rais Samia keshasema suala hilo lisubiri [kidogo/ kwanza] maana anataka aisimamishe kwanza nchi kiuchumi.
Ni kama sielewi elewi vile inakuwaje suala muhimu kama hilo kuhusu mustabali wa taifa liwe ni suala la hisani ya mtu mmoja ilhali taifa linakadiriwa kuwa idadi ya watu takriban milioni 60.
Jingine ambalo silielewi elewi ni hili suala la huyu jamaa wa CHADEMA aitwaye Mdude Nyagali.
Hivi hilo ‘Mdude’ ni jina lake kweli? 🤔
Baada ya kutoa kauli yake ya hivi karibuni kwamba kimsingi ataendelea kuanzia palepale alipoishia kabla ya kwenda jela kipindi Rais Magufuli akiwa hai, kumekuwepo na maneno maneno ya kwamba auchunge mdomo wake kuhusu anayoyasema dhidi ya Rais Samia kwa sababu yeye Mama Samia ndo kamtoa huko jela alikokuwa.
Ina maana Tanzania mtu kuwa jela au kuwa huru kunaweza kutegemea hila ama fadhila za Rais aliyepo madarakani na si sheria za nchi?
Madai ni kwamba Mdude alibambikiwa kesi na utawala wa Magufuli. Lakini utawala wa Samia umeamua kumwachia huru 🤦♂️.
Rais Magufuli alipiga marufuku wanasiasa kufanya shughuli za kisiasa nchini. Akasema eti wanaruhusiwa tu kufanya shughuli hizo kwenye majimbo yao.
Ajabu kweli kweli maana Tanzania ni nchi iliyo huru na nijuavyo Mtanzania yeyote yule ana haki ya kufanya kazi sehemu yoyote iliyo nchini mwake.
Kaja Rais Samia naye anaendelea na uamuzi huo huo wa kupiga marufuku shughuli za kisiasa kwa wanasiasa nje ya majimbo yao isipokuwa kwa CCM tu.
Ni wazi kabisa kuwa hii amri ni ukiukwaji wa katiba maana shughuli za kisiasa ni haki kwa mujibu wa katiba.
Sielewi kwa nini wanasiasa wa upinzani hawaikaidi hiyo amri maana sheria ipo upande wao.
Kwani kwa mfano wakiamua kuzifanya hizo shughuli za kisiasa nchi nzima, nini kitawatokea?
Watakamatwa na polisi na kufungwa jela? Watashitakiwa na serikali kwa kosa/ makosa gani?
Watafikishwa mahakamani na kushitakiwa kutenda kosa/ makosa gani?
Kama wanachokifanya ni haki yao kikatiba, ni mahakama gani itayowapata na hatia ya kuitumia haki yao ya kikatiba?
Hii nchi bana…imejaa watu wa ajabu kweli!
Yaani mtu mmoja mjinga kuchekea uvunjaji wa wazi wa katiba basi inathibitisha kuwa wananchi wa Tanzania nzima hawako tayari na mambo ya katiba mpya?!WTF!Hapo ndio ujue Chadema mko peke yenu.
Laiti kama kweli wananchi wangekuwa wanaihitaji katiba mpya iwe mvua, liwe jua ingekuwa imeshapatikana.