Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Wale walikuwa Chadema woteJuzi hapa wamefanya pale tabata baracuda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale walikuwa Chadema woteJuzi hapa wamefanya pale tabata baracuda
Watu wote wenye Nia njemaChadema wanashirikiana na kundi gani kudai katiba mpya mpaka sasa ?
[emoji817][emoji3581]Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani.
Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa?..
Chadema siyo wananchi ?!Wale walikuwa Chadema wote
Wewe endelea kula vumbi na ukae pembeni watu wafikirie kwa niaba yako.Wewe endelea kubeba mabox huko utumwani, mambo ya huku hayakuhusu......
Vyama vya siasa Tanzania vimekuwa sehemu ya fursa na Ajira.Watu wote wenye Nia njema
Chadema wameanza na wengine watafuata! Shida Iko wapi?!Wale walikuwa Chadema wote
Ngabu huko utumwani hamnaga ajenda za kuongea, maana ishu za bongo zinakushughulisha sana ndugu yangu.....Wewe endelea kula vumbi na ukae pembeni watu wafikirie kwa niaba yako.
Shida ni kwamba, suala la katiba litaonekana ni hitaji la Chadema kwaajili ya manufaa ya Chadema.Chadema wameanza na wengine watafuata! Shida Iko wapi?!
Na huko mavumbini mna nini?Ngabu huko utumwani hamnaga ajenda za kuongea, maana ishu za bongo zinakushughulisha sana ndugu yangu.....
Kwa hiyo unataka Chadema wakae kimya waache kuhamasisha kuhusu katiba mpya kisa wengine watakaa pembeniShida ni kwamba, suala la katiba litaonekana ni hitaji la Chadema kwaajili ya manufaa ya Chadema.
Hivyo watu wengine watakaa pembeni.
Hujamsikia juzi Mbowe akisema anawaalika watu wote ikiwema taasisi za dini, ngos na wadau wote kuungana kuhusu katiba mpya? Acha hizo wwVyama vya siasa Tanzania vimekuwa sehemu ya fursa na Ajira.
Ndio maana hata wanasiasa wake ni matajiri...
Right approach ya kwanza ilitakiwa kuwa kutafuta uungwaji mkono kwenye makundi yote muhimu.Kwa hiyo unataka Chadema wakae kimya waache kuhamasisha kuhusu katiba mpya kisa wengine watakaa pembeni