Mbogo mjukuu
Member
- May 14, 2024
- 32
- 90
Kwenye kusali au kuomba hayo MAOMBI una takiwa kwanza kabla ya vuu bin vuu..........chukua siku 3 kwanza ama 2 za kutafakari una omba ili iwe Nini una omba kwa malengo Gani ukipata time ukazama deep sana baada ya hapo ingia kwenye mfungo ukitoka kapa niitwe mbwaUmejuaje?
Ameuchuna 😭🤣🤣 Mt Ritha wa kashia amekunyamazia?
Kwahy una uhakika gn sijapitia hatua hizoKwenye kusali au kuomba hayo MAOMBI una takiwa kwanza kabla ya vuu bin vuu..........chukua siku 3 kwanza ama 2 za kutafakari una omba ili iwe Nini una omba kwa malengo Gani ukipata time ukazama deep sana baada ya hapo ingia kwenye mfungo ukitoka kapa niitwe mbwa
Pole ndugu jaribu tenaKuna mtu humu JF aliwahi kunisogezea hy sala kutokana na changamoto fulani za kikazi, nikafanya kama ilivyotakiwa kufanywa ila nimegonga mwamba
Km ume pita uko subili baraka ndugu MAOMBI sio chai 😍Kwahy una uhakika gn sijapitia hatua hizo
Sipo perfect, Ila kipindi cha sala nilijitahidi kuachana na mambo hayoPole ndugu jaribu tena
Ukiwa unasali novena jitaid kuacha dhambi wakati unaendelea na mafungo yako
Siyo unasali novena huku unatizama makalio ya wanawake Facebook kama unasali kwa mtindo huo utasugua sana
Novena hazipend uchafu maana zinapitia kwa wakatifu ambao ni wasafi sana
Omba Moja kwa Moja headquartersAmeuchuna 😭
Na hao wenye dini wanakushangaa na wewe ulivyo mgonjwa wa akili kupenda kutazama mpira,kulewa pombe bar na kufanya yale mengine yaliyo nje ya utaratibu wao wa kidini ambayo yote mvumbuzi wake hakutokana na ukoo wenu wala bara lako la AfricaDini ni ugojwa wa akili *****!
Usijal ndugu yangu rudia tenaSipo perfect, Ila kipindi cha sala nilijitahidi kuachana na mambo hayo
Roho ya mpinga KRISTO inakiendesha sana hiki kizaziNa hao wenye dini wanakushangaa na wewe ulivyo mgonjwa wa akili kupenda kutazama mpira,kulewa pombe bar na kufanya yale mengine yaliyo nje ya utaratibu wao wa kidini ambayo yote mvumbuzi wake hakutokana na ukoo wenu wala bara lako la Africa
Sikiza mzee,hii dunia hakuna siku tutafanana kwa kila kitu wewe utaelewa hiki yule ataelewa kile mimi nitaelewa vile alimradi tuna itikadi tofauti tuna uelewa tofauti tunawaza tofauti kila mmoja wetu so relax acha watu wafanye yale wanayoamini as longer as hawajaja kwako kukugongea mlango kukulazimisha ushiriki.
Huko ndo hua naomba kila siku, ila ngoja nisubiri c unajua tena wakati wa Mungu ndio wakati sahihi.Omba Moja kwa Moja headquarters
Na hio ipo kote kote imani zote hio ipo hakuna imani wasiofanya chantingNovena = Enchantments of Holly Magic
Saa 9 kuelekea 10 asubuhi achana na aliekwambia saa 9 Alasiri huo muda wa Huruma ya Mungu sali hio kukiwa kumetulia hapo mbingu zinakua zipo wazi shusha maombi yako yote kwa furaha fungua moyo wako ukimaliza rudi kwa bed ukiyazingatia haya few days to come utafurahishwa na mshangaoHuko ndo hua naomba kila siku, ila ngoja nisubiri c unajua tena wakati wa Mungu ndio wakati sahihi.
Hahaha Acheni haya mambo, Yesu mwenyewe alisema 'Alikuja kwa ajili ya wenye dhambi" sasa ikiwa Novena ni kwa wasafi, mbona unapoteza ladha ya kusali na Kuomba.Pole ndugu jaribu tena
Ukiwa unasali novena jitaid kuacha dhambi wakati unaendelea na mafungo yako
Siyo unasali novena huku unatizama makalio ya wanawake Facebook kama unasali kwa mtindo huo utasugua sana
Novena hazipend uchafu maana zinapitia kwa wakatifu ambao ni wasafi sana
Beira Boy, naomba kama una soft copy ya hivi vitabu unitumie tafadhali.Mimi niliambiwa na mtu nikabisha kabla hata sijaanza kuisali usiku nikiwa nimelala nikamuona huyo mama kavaa manguo marefu nilishangaa sana
Asubuh nikaenda kununua vitabu viwili vya novena kimoja mtakatifu Rita kingine mtakatifu Philomena
Ile nafika tu nyumban nikatokewa na kasichana kadogo kazuri kananambia kenyewe Nika mtakatifu Philomena
Niliogopa vibaya
Huyo mtakatifu Philomena ni baraa utakuja kunikumbuka ukibeep ana piga mda huo huo tena hakawii dakika hiyo hiyo
Kama ni ugonjwa wa akili utakaonifanya niishi bila hofu,naomba na mimi niugue.🙏😎Dini ni ugojwa wa akili *****!