Nini kinafanya Uislamu kuzidi kuwa na ushwawishi na kushamiri Tanganyika?

Hoja yako haina mashiko, nami nakwambia kuna Ashura wengi sana wamekuwa wasabato na wakristo kwa ujumla.
 
Hoja yako haina mashiko, nami nakwambia kuna Ashura wengi sana wamekuwa wasabato na wakristo kwa ujumla.
Hii sio hoja mkuu, Mimi nazungumzia nilichokiona.
 
Na ushoga unakua kwa kasi mno.....ni rahisi kumgeuza mkristo tena anaesali kila jumapili kuwa muislamu ila ni jambo gumu mno kumgeuza hata muislamu ambae hata mlango wa msikiti haujui kuwa mkristo
Ingekuwa rahisi hivyo wakatholiki wote wangeshakuwa walokole, wasabatho ama waislamu maana hayo makundi yote huwa yana hoja yenye nguvu na kibiblia kama kupinga masanamu na kitimoto. Lakini wakatholiki wakitoka misa wanaunganisha kuagiza mdudu kilo na bia zao, maisha yanaendelea.

Kingine waislamu wengi wapo hostile kwa ndugu zao wanaobadili dini na hufikia kuwatenga. Ila kwa wakristo wapo wenye tabia hizo ila sio kwa asilimia ya waislamu. Kwa hiyo mtu anaweza kubaki katika uislamu ili kuhofia kutengwa
 
Nakubali waislamu ni wengi Tanzania kwasababu hata huko kaskzini watu wanasilimishwa balaa
Watu wanavunwa haswa, kuna namna au jambo la kuvutia sana linawatia nyavuni Wagalatia kwa mwendokasi hasa mabinti.
 
Kobazi Vs Kaffir

Sisi wengine tukae pembeni tushuhudie huu mvutano
 
Hata dunia ipinduke nitasalia Roman Catholic,,, hata nizaliwe upya mtajua wenyewe
 
Mtoa mada nakuunga mkono kwa 100% huku mwanza maeneo ya Kishiri kuna misikiti karibia 3 yote inajengwa na inasemekana pesa inatoka kwa Joyce Banda
 
Mimi mwenyewe nilikuwa nafikiri hivyo ila ni zaidi ya hivyo mkuu, mabinti wa Kitanganyika Wagalatia wengi sana wanaukubali na kuupenda ushungi kwa hiyari yao kabisa!
 
Nikweli unachosema ila hakina nguvu kubwa kivile...nina mtoto wa dada yangu ni binti anasoma form three ndio tunapiga story akauliza hivi Yesu ni Mungu ? Nakama aliteswa kwa ajili ya dhambi zetu inamaana sisi hatuna dhambi?kiukweli kuhusu Yesu kuwa Mungu watu walishindwa kueleza kwa ufasaha kuhusu uungu huo sasa kauli ya dogo mwishoni alidai Akiwa mkubwa atasilimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…