Nini kinakufanya ugeuke nyuma baada ya kupishana na mdada mzuuuuuri?

Na usipogeuka ujue wewe sio rijali
 
Kuconfirm kama tako la haja. Coz unakuta sura ya uso ni baba dan saut n ya wema spatu tembea n ya binti maringo sasa ili kujua kama ni liz lazma uangalie what her mama gave her to shake. Leo sijapga nyago.
Huko nyuma kwa kweli mkuu panatisha, lazima uone yaliyomo yamo kwenye storage fat
 
Be blessed mkuu¡ nimekupata.
 
Binafsi hua najitahidi kumwangalia mbele tu! Tukipishana nae tu najikaza zangu tu! Naimba Zaburi 23 mambo mengine yanaendelea!
Sina cha kuangalia yaan nilivyovitaka vyote kwa wanawake nilishavipata na nilivitaka kwa pupa yaan size zote nimepita kuanzia xl mpaka xxxl kwa hio sina cha kuangalia hakuna jipya yote ni yaleyale tu.

Nitakupa mfano

kuna manzi mmoja nilikua kila nikipishana nae anakua kavaa haya majuba sijui mabaibui manikabu ya kujifunika mwili mzima mpaka kichwani basi ana sura nzuri haaatari nikaanzisha zile salamu za kuchombeza huku navutia muda nitupie kamba kambani eeh siku hio si nikapishana nae kavaa kidunia yaan yale majuba sijui manikabu na mashungi kayatupia kabatini yaan hapo ndipo nilipogundua macho yanatudanganya mengi sana, maanzi miguu km fito za genge ugoko umechomoka nje km tairi za ndege ya kukodi imebabuka mbaya kwa kupigwa mkorogo hatari oya nililala hivi hata salamu sikutoa na hua sio kawaida yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…