Eleminator
JF-Expert Member
- Sep 29, 2022
- 597
- 975
WoowUende si sumsang tu, "sijui". ninavutiwa na setting ya password:-nikiwa nyumbani kwangu simu haiingii password, mtu yoyote anaweza chukua na kuitumia bila kuingiza password ila nikitoka eneo la nyumbani inaomba password.
Yaah.Woow
Reactive Power
Aloo hyo inaitwa smart unlock sio poa mzeeUende si sumsang tu, "sijui". ninavutiwa na setting ya password:-nikiwa nyumbani kwangu simu haiingii password, mtu yoyote anaweza chukua na kuitumia bila kuingiza password ila nikitoka eneo la nyumbani inaomba password.
Na wala sio Apparent powerππReactive Power
Ipo waz chiefUwezo wa betri, camera
Wew na samsung dam damuhunitoi sumsung hata iweje
Nipe bei ya S22 Ultra wakati inazinduliwa feb na bei ya sasa hivi.. nazungumzia simu mpyakinacho ni vutia samsung ni simu ikitoka toleo jipya bei inakuwa juu ila ikifika miezi 6 bei imeshuka vibaya mno. kuliko iphone
Inshort jamaa wapo vzur aseeMi napenda
πedge display
π Secure Folder
π Edge panel
π always on display
π Apps (Samsung Health and Music)
Hyo secure folder inaokoa sana ndoa za WatuππKinachonivutia kwenye Samsung Ni Secure folder