Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aloo mimi kwenye kila application nmei double moja ipo kawaida nyingine secure folder yaan ni ina saveSecure folder ni nyoko!! Nilimpa wife simu yangu aitumie. Amekaa nayo mwaka mzima na imejaa makolokolo yangu machafu sana zIdi ya GB 40. Na kuna muda alikuwa anaenda nayo hadi kwao anakaa huko hata wiki mbili[emoji38][emoji38][emoji38]
Mi nikiishika nachukua ninachokitaka. Alafu namrudishia. Ilikuwa pia na fb nyingine kwenye scure folder ambayo niliifungua kwa jina bandia na huwa nachat ujinga mtupu humo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Samsung noma mno. Feature nyingine inayonifurahisha ni ile ya SIDE KEY. Unaiset ukiipress mra mbili inafungua direct app uliyoiset. Naweza kuwa JF nikafungua sms bila kufunga JF nikasoma sms nikajibu alafu nikaendelea.
Inanifurahusha sana Samsung siwezi tumua simu nyingine
Yaani iPhone, tecno na infinix naziona sawa tu, haziko kwa ajili yanguHunitoi sumsung hata iweje
Hata S zipo zinazokaa na chaji cha muhimu angalia tu reviews kabla hujanunua. Mfano s20 haikai sana na chaji ila S20 FE inakaa sana na chaji.Hizo Features zote hazipatikani kwenye A Series halafu S na Note Series Ambapo ndo zinapatikana napo Betri Majanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo ndo ninapochanganyikiwa kununua Samsung! ukitaka Battery chukua A Series ila sasa Ule unyama Haupo huko [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297] Ukitaka Unyama Basi Battery Manyanyaso labda uwe na kuanzia S10
Wale wa S10 tunyooshe mikono🤚Hizo Features zote hazipatikani kwenye A Series halafu S na Note Series Ambapo ndo zinapatikana napo Betri Majanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo ndo ninapochanganyikiwa kununua Samsung! ukitaka Battery chukua A Series ila sasa Ule unyama Haupo huko [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297] Ukitaka Unyama Basi Battery Manyanyaso labda uwe na kuanzia S10
Unaomba msamaha ili iweje sasa?Aiseee Wakuuu mtanisamehe nataka mwakani nihame brand nijaribu Google Pixel
Kuna wakati hata reviews hazina sana msaada.Hata S zipo zinazokaa na chaji cha muhimu angalia tu reviews kabla hujanunua. Mfano s20 haikai sana na chaji ila S20 FE inakaa sana na chaji.
Inategemea na review kila mtu ana benchmark yake linganisha.Kuna wakati hata reviews hazina sana msaada.
Settings na matumizi ya simu yanachangia sana kwenye battery health.
Hata S zipo zinazokaa na chaji cha muhimu angalia tu reviews kabla hujanunua. Mfano s20 haikai sana na chaji ila S20 FE inakaa sana na chaji.
Kinacho ni vutia samsung ni simu ikitoka toleo jipya bei inakuwa juu ila ikifika miezi 6 bei imeshuka vibaya mno. kuliko iphone
Hizo Features zote hazipatikani kwenye A Series halafu S na Note Series Ambapo ndo zinapatikana napo Betri Majanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo ndo ninapochanganyikiwa kununua Samsung! ukitaka Battery chukua A Series ila sasa Ule unyama Haupo huko [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297] Ukitaka Unyama Basi Battery Manyanyaso labda uwe na kuanzia S10
Camon 19Kuna hii inaitwa pop up view yaani unaangalia video huku unaendelea kufanya mambo yako kama mimi hapa nipo jamiiforums still kuna video inaplay pale juu mini screen,napenda sana throwbacks nikiwa nachat au kuingia jamiiforums ni lazima niplay video ya throwback hiyo ni mary J blige "be without you"
View attachment 2450584
Ina uwezo kuweka pop up ya video??
Mbn. Kama infinix
secure folder ni nini wakuu tupeni elimu na je ipo katika samsung za s 7edge au ni izi latest samsung?Hyo secure folder inaokoa sana ndoa za Watu😀😀