Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

Eleminator

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2022
Posts
597
Reaction score
975
Habari ya muda huu wana jamvi la Jf?

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza ningependa kila mmoja aeleze ni Features gani zinamfanya apende smartphone kutokea kampuni hii,

Mimi kwa upande wangu kuna ile feature ya private mode na smart silence zinazoptkana katik S series na Note series huwaga nazielewa sana japo zipo nyingi zinazonifanya Ninunue smartphone ya samsung

WEWE JE?
 
Uende si sumsang tu, "sijui". ninavutiwa na setting ya password:-nikiwa nyumbani kwangu simu haiingii password, mtu yoyote anaweza chukua na kuitumia bila kuingiza password ila nikitoka eneo la nyumbani inaomba password.
Aloo hyo inaitwa smart unlock sio poa mzee
 
Back
Top Bottom