Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

Kuna hii inaitwa pop up view yaani unaangalia video huku unaendelea kufanya mambo yako kama mimi hapa nipo jamiiforums still kuna video inaplay pale juu mini screen,napenda sana throwbacks nikiwa nachat au kuingia jamiiforums ni lazima niplay video ya throwback hiyo ni mary J blige "be without you"
 
Hahah acha hyo pop up sio poa na saiv kuanzia s9+ na kuendelea kuna pop up option hadi inaboa kwa furaha😀😀😀🤝
 
Secure folder ni nyoko!! Nilimpa wife simu yangu aitumie. Amekaa nayo mwaka mzima na imejaa makolokolo yangu machafu sana zIdi ya GB 40. Na kuna muda alikuwa anaenda nayo hadi kwao anakaa huko hata wiki mbili[emoji38][emoji38][emoji38]

Mi nikiishika nachukua ninachokitaka. Alafu namrudishia. Ilikuwa pia na fb nyingine kwenye scure folder ambayo niliifungua kwa jina bandia na huwa nachat ujinga mtupu humo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Samsung noma mno. Feature nyingine inayonifurahisha ni ile ya SIDE KEY. Unaiset ukiipress mra mbili inafungua direct app uliyoiset. Naweza kuwa JF nikafungua sms bila kufunga JF nikasoma sms nikajibu alafu nikaendelea.

Inanifurahusha sana Samsung siwezi tumua simu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…