October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Na badoWanamtandao wanacheza na akili za wabongo tu
Hawa wahuni wote WANATAKIWA kula chums tuanze upya
Wote timu mtandao.
Nchi yetu Ina wajinga Sana mnadanganyana Sana .Nadhani huyo ndio Brother atakaesimamia mageuzi na kutupa katiba ya warioba!!
"Wabunge lazima wawe na masters"
Hakuna vyeo vya "Rcs,Da's,wakuu wa wilaya,Ras n.k"
Mafao kufutwa na wafanyakazi kupunguzwa Ili wabaki wachache watakao lipwa vizuri!
Rejea andiko la Tumia akili!
For sureWanamtandao wanacheza na akili za wabongo tu
Hawa wahuni wote WANATAKIWA kula chums tuanze upya
Yeye hajachafuka kama Yule mwingine au wengineMayi! Mimi mwenyewe au nanyi mwaona? Yaani Emmanuel bhana anafuraha muda wote kuliko kiongozi yeyote hapa nchni. Anayefuata ni Baba Levo.
Nyie embu nijuzeni kunani? Maana sio bure. Jamaa yenyu stress Hana. Amzidi furaha Mama Samuya, samuya body language yake tuu yaonyesha ako na stress full.
Na yule Nchemba ndio kabisa. Kuna mtego umenasa windo walahi sio bure. Sio bure nye. Abishe mtu miye sidanganyiki. Kugeukana on the trick. Na bado.
Anasubiri kuapishwaMayi! Mimi mwenyewe au nanyi mwaona? Yaani Emmanuel bhana anafuraha muda wote kuliko kiongozi yeyote hapa nchni. Anayefuata ni Baba Levo.
Nyie embu nijuzeni kunani? Maana sio bure. Jamaa yenyu stress Hana. Amzidi furaha Mama Samuya, samuya body language yake tuu yaonyesha ako na stress full.
Na yule Nchemba ndio kabisa. Kuna mtego umenasa windo walahi sio bure. Sio bure nye. Abishe mtu miye sidanganyiki. Kugeukana on the trick. Na bado.
Unajivunjia heshima kwa ramli chonganishiAnasubiri kuapishwa
Mbunge kuwa na masters ni kuwatenga watu na demokrasia,wazo la kijingaNadhani huyo ndio Brother atakaesimamia mageuzi na kutupa katiba ya warioba!!
"Wabunge lazima wawe na masters"
Hakuna vyeo vya "Rcs,Da's,wakuu wa wilaya,Ras n.k"
Mafao kufutwa na wafanyakazi kupunguzwa Ili wabaki wachache watakao lipwa vizuri!
Rejea andiko la Tumia akili!
Kama ulikua unawaheshimu hao,poleUnajivunjia heshima kwa ramli chonganishi