much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,592
kina nani?Kama ulikua unawaheshimu hao,pole
kina nani?Kama ulikua unawaheshimu hao,pole
We *** upo? 😹Kama ulikua unawaheshimu hao,pole
Wenye mrengo wa huyo jamaakina nani?
Unajua kazi ya mbunge ni Nini? Kazi ya bunge sio tu kuchangia miswaada pekee ni pamoja na kuwasilisha shida za wananchi, hivi wabunge wote wakiwa na masters Nani ataweza kwenda ndani ndani mwa Jimbo lake kujua changamoto zinazowakabili wananchi wake? Mnawadharau wakina babalevo lakini ndio huwa wanakuwa karibu sana na wananchi kuliko hata hao wenye Elimu kubwa.Sisi mbunge wetu ni Professor Kitila Mkumbo hakuna chochote alichofanya kwenye JimboNadhani huyo ndio Brother atakaesimamia mageuzi na kutupa katiba ya warioba!!
"Wabunge lazima wawe na masters"
Hakuna vyeo vya "Rcs,Da's,wakuu wa wilaya,Ras n.k"
Mafao kufutwa na wafanyakazi kupunguzwa Ili wabaki wachache watakao lipwa vizuri!
Rejea andiko la Tumia akili!
🤣🤣🤣We *** upo? 😹
Bado hujapata bwana permanent?
Mrengo upi?Wenye mrengo wa huyo jamaa
Huyu ***** gallow bird mabasha hawamuoni waruke naye? 😹😹😹
Ila we mrembo unanifurahishaga una kauli fulani hivi natamani siku nikuoneHuyu ***** gallow bird mabasha hawamuoni waruke naye? 😹😹😹
Nadhani huyo ndio Brother atakaesimamia mageuzi na kutupa katiba ya warioba!!
"Wabunge lazima wawe na masters"
Hakuna vyeo vya "Rcs,Da's,wakuu wa wilaya,Ras n.k"
Mafao kufutwa na wafanyakazi kupunguzwa Ili wabaki wachache watakao lipwa vizuri!
Rejea andiko la Tumia akili!
Wee naye acha nyege 😹😹Ila we mrembo unanifurahishaga una kauli fulani hivi natamani siku nikuone
Sio hivyo mama Vitu vyako vya kipekee unavyofanya ndio maana Nina shauku yakutaka kukuona ni mtu ambaye umenyooka Kama rulaWee naye acha nyege 😹😹
Kwahiyo ndo unaiomba hivyo?? 😹
Tangu nimjue huyu jamaa huwa Hana roho mbaya Kama huyu Samia hata ukimsikiliza awamu hii unaona kabisa hayupo na mama hatoi kauli za kujimaliza Kama wanavyofanya machawa wakina msigwa kwa sababu anatunza heshima yakeHuyu October roho yangu imegoma kabisa kumuamini… kueni makini guys anapoteza watu maboya huy!
Wote hao Nchimbi na Mwigulu hatuwataki.Mayi! Mimi mwenyewe au nanyi mwaona? Yaani Emmanuel bhana anafuraha muda wote kuliko kiongozi yeyote hapa nchni. Anayefuata ni Baba Levo.
Nyie embu nijuzeni kunani? Maana sio bure. Jamaa yenyu stress Hana. Amzidi furaha Mama Samuya, samuya body language yake tuu yaonyesha ako na stress full.
Na yule Nchemba ndio kabisa. Kuna mtego umenasa windo walahi sio bure. Sio bure nye. Abishe mtu miye sidanganyiki. Kugeukana on the trick. Na bado.
Au sio 😹😹Sio hivyo mama Vitu vyako vya kipekee unavyofanya ndio maana Nina shauku yakutaka kukuona ni mtu ambaye umenyooka Kama rula